DC Tarime ni jipu lililoiva, Rais Magufuli tumbua!!

Aug 29, 2016
21
12
PIC+4.JPG
PIC+4.JPG
_Naomba nianze kwa kumpongeza Mh Prof Sospeter Mwijarubu Muhongo,waziri wa wizara ya Nishati na Madini,ambae pia ni mbunge wa musoma vijijini,kwa jitihada zake za dhati na nia yake njema ya kutaka kumaliza matatizo ya wananchi na mgodi wa North Mara(Acacia),lakini pia nimpongeze mbunge wa Tarime vijijini Mh John Heche ambae pia ni waziri kivuli wa wizara ya nishati na madini,mnamo tarehe 10/02/2016 waziri Sospeter Muhongo alimwahidi mbunge wa TARIME kuwa atakwenda Nyamongo kwa ajiri ya kutatua matatizo hayo ya Nyamongo ili kuweza kuepukana na malalamiko ya muda mrefu ya wananchi juu ya mgodi huo kuwaonea,waziri alipoitembelea Nyamongo alipendekeza kuundwe kamati ndogo itakayochuguza kiini cha migogoro na kuja na njia sahihi za kisheria,kamati iliundwa 15/02/2016 na kuanza rasmi majukumu yake 23/02/2016,kamati ilipewa muda wa mwezi mmoja iwe imekamilisha Kazi hiyo,mnamo tarehe 23/03/2016 kamati iliyokuwa chini ya mhandis John Nayopa ilimkabidhi prof Muhongo ripoti ya uchunguzi ktk halmashauri ya wilaya ya TARIME, mwenyekiti wa kamati alimwambia Muhongo kuwa kamati ilitembelea vijiji vyote zaidi ya saba na vitongoji 80 na kupokea malalamiko 4400 Kutoka kwa wananchi,baada ya Mh Muhongo kuipokea ripoti hiyo nae alinena kuwa atakuja kuwapa majibu ndani ya wiki tatu yaani 11/04/2016,lakini tarehe hiyo waziri hakufika baada ya kuwepo nje ya nchi(Uganda) kikazi,kupitia mbunge wa TARIME vijijini aliwahaidi aipata muda angefika Mara moja Nyamongo kwa ajiri ya kutoa majibu ya ile ripoti,08/07/2016 Prof Muhongo alifika tena Nyamongo kwa ajiri ya kutoa majibu kwa wananchi,ktk ile ripoti kamati ilipendeza mambo yafuatayo:,- (a)Ndani ya wiki tatu mgodi ulitakiwa utoe malipo ya tathimini ambayo umefanya bila kutoa malipo yake, (b)watu wote ambao wapo ndani ya mita 200 kutoka eneo hai la uzalishaji(active mining area) wafanyiwe tathimin haraka na waondoke ili kuzuia madhara yatayowapata. (C)ifikapo 30/09/2016 zoezi hill liwe limeisha, Mkuu wa wilaya ndiye msimamizi wa shughuli za serikali,ndiye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya,ndiye mwakilishi ya Rais katika wilaya,ndiye Mwenye neno la mwisho ktk wilaya,lakini kuna maswali hapa ya kujiuliza 1:Ni nini kimemsibu Mkuu huyu wa wilaya ameshindwa kusimamia maagizo ya serikali? 2:Ina maana Mkuu huyu wa wilaya hajui kuwa mgodi unafanya mambo kinyume na sheria za nchi? 3:Hajui mgodi unafanyia Kazi ktk ya makazi ya watu? 4Anataka watu wangapi ndo waathirike ndo achukue hata? 5:Hivi ni kweli anataka kutuaminisha kama wanavyodai watu eti kuna fungu lake lipo kutoka mgodi ni ndo maana hawabani kutekeleza wajibu wao? 6:Ni kwanini Mh Rais asikufundishe Kazi au akupe Kazi nyingine unayoiweza kuliko hii? Mwisho niseme Kinga ni bora kuliko Tiba
PIC+4.JPG
 
Back
Top Bottom