DC Mwanga amweka DAS mahabusu na DC Chemba amcharaza viboko mzazi wa mtoto aliyevunja gari lake

:(:mad:
Sema mkuu wa wilaya kwa chama cha mapinduzi, "sio likuu la wilaya la CCM"
Kungekuwa na video yake nadhani tungeweza kulichangia kwa ufanisi zaidi. Ila makosa mengine ya watoto husababishwa na wazaze...watoto wanaviburi kutokana na malezi ya wazazi wao
acha tu Video
hicho kijiji ni cha Wasandawi Mbunge J Mkamia
ni wabishi kuliko Warangi na hawahusiki kabisa na watoto wao
maadili hakuna kwa vile barabara ya lami ndio imewekwa na haina miezi mitatu lazima wanaona maajabu lazima watoto wajishindanishwa mawe na mwendo kasi wa Land Cruiser
kwa hiyo Mkuu wa Wilaya ya Chemba (CCM) atalazimika kuuweka ustaarabu mojawapo ndiyo hiyo maisha ya kuishi na manati kwani ndipo jirani na wanapouza vindege km mishkaki
 
Huyo DC ningemkata makonde maana inaelekea hajui uongozi nini!iweje aende kwa mzazi na kumhoji as if yeye ndiye kawatuma??Pangechimbika maana inaelekea kuwa nikwakuwa wapo vijijini na ma layman japo mzazi alionekana kujitambua.
 
Huyo mzazi ni punguani nini? Yaan mtoto wako unamfundisha tabia za kibandidu na malezi ya hovyo hovyo halafu useme huhusiki? Stupid, mi ningemzaba vibao vya uso hadi ajikojolee kwa kushindwa kutimiza wajibu wake kama mzazi
 
Back
Top Bottom