DC Mwanga amweka DAS mahabusu na DC Chemba amcharaza viboko mzazi wa mtoto aliyevunja gari lake

Unao huo uwezo wakumfanya kitu mbaya DC au kwa kuwa uko nyuma ya keyboard??
Ukumbuki kuwa kuna mtu hapa Tanzania alishawahi kuuwa Mkuu wa mkoa wa Iringa... Tuelewe cheo ni dhamana....Tufate utawala wa kisheria...Kama yeye ndio mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya ameshindwa kutuliza hisia zake ...Kuna shida sana Tanzania
 
Mtoto ni mtoto, kwa hiyo alichokifanya DC ni sahihi, kwa sababu angeenda kwa wazazi ina maana wazazi wangelipa hasara ambayo imesababishwa na mtoto na pia wangemchapa
Wewe na DC huyu mna akili zinazofanana....

Lakini RPC ndiye pekee mwenye akili na alichikiongea ndicho hasa DC angepaswa kufanya... kufuata sheria!!

Mzazi angelipa kwa makosa ya mtoto wake,pengine lingewaamusha wazazi na walezi wa eneo hilo naingekuwa mwanzo wa suluhisho la kudumu la tabia za watoto wa kushambulia magari ya wapita njia...

Hili la kupiga walaaaa. ..
 
DC anatakiwa ashitakiwe kama yeye
 
mi nataka kuona hao watu wa haki za binadamu watasemaje maana hata mkuu wa polisi wa mkoa amekasirika kitendo cha mkuu wa wilaya kujichukulia sheria mkononi ila anaogopa kuchukua hatua zaidi maana kitumbua chake kitaingia mchanga hao watu walichukuliwa tu ovyoovyo kisa wana elimu nzuri wakati uongozi ni zaidi ya elimu
 
Furahisha tu maisha humu wewe mburura. Kwa nini usimtume mtoto wako ama uende mwenyewe ukaharibu Mali ya kiongozi uone kama hicho kiburi chako kitakufikisha popote.
Aliewahi kuwa RC Dar, Ukiwaona Ramadhani Ditopile Mzuzuri , aliponzwa na hasira na kiburi cha madaraka akamuua kwa kumpiga risasi Dereva wa dalax2 eti kwa kukwaruza gari yake! Bararani !!! Utawala ulimlinda lakini Mungu alitenda haki kwa kumuondoa kwa aibu kubwa tena akiwa guest Morogoro. Na huyu asipojirudi na kumtaka radhi mzazi!!! Mungu atatenda.
Mi nawaza chakumfanya namba moja ..........au niache kumuombea ......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ya kumcharaza mtoto naungana na nakubaliana na DC ila hiyo ya DC kumuweka ndani DAS nadhani haijakaa vizuri
mkuu ingekuwa ni instructions za matumizi ya dawa nadhani ungekuwa umeshaji overdose tayari,hakuna mahali pameandikwa aliecharazwa viboko ni mtoto,bali imeandikwa kuwa aliecharazwa ni mzazi .Tujitahidi sana kusoma kwa utulivu na kuelewa kilichoandikwa huku kukurupuka ndio kunakofanya dhahabu ibebwe tunaachiwa makinikia
 
RPC Mambosasa anastahili nishani ya utumishi uliotukuka

Katika serikali hii ni ngumu sasa kuwa na ujasiri kama alionao Mambosasa na kuthubutu kusema DC kavunja sheria (kajichukulia sheria mkononi).

Bila shaka atakuwa safe maana wa Mwisho kuthubutu kuita nyeusu nyeusi (na si nyeupe iliyochafuka) alipoteza Wizara
 
Hiyo habari ameedit kulikuwa na Magazeti mawili
 
RPC Mambosasa anastahili nishani ya utumishi uliotukuka

Katika serikali hii ni ngumu sasa kuwa na ujasiri kama alionao Mambosasa na kuthubutu kusema DC kavunja sheria (kajichukulia sheria mkononi).

Bila shaka atakuwa safe maana wa Mwisho kuthubutu kuita nyeusu nyeusi (na si nyeupe iliyochafuka) alipoteza Wizara
Tumuombee Mungu RPC Mambosasa maana dalili za kutumbuliwa kwake ziko nje nje kasema kitu kisichopendwa nchi hii (UKWELI, HAKI, UTAWALA WA SHERIA)
 
Hiyo ya kumcharaza mtoto naungana na nakubaliana na DC ila hiyo ya DC kumuweka ndani DAS nadhani haijakaa vizuri
Umejibu kienyeji hadi unatia aibu. Kosa afanye mtoto, adhabu apewe mzazi tena adhabu inatolewa na muathirika? Kwa Mara ya kwanza nimeshuhudia majibu ya RPC mwenye weledi na Kazi yake. Hakuna mtu anayeruhusiwa kujichukulia sheria mkononi, awe kiongozi au awe raia wa kawaida. Lakini kwa weledi RPC katwambia mtoto hana Criminal liability kutokana na umri wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MaDC na maDAS huku wakati kule kuna maDED na maRAS. Full kutunishiana misuli. Kisa? "Sisi sote ni wateule wa Mtukufu RAIS"
Tungesema tuache wafu wazikane lakini hii hatari inaturejelea tulioko mitaani!
Tutajionea na kusikia mengi awamu hii!!
DC hajui madaraka ya DAS wake? Hivi DC anashindwa hata kumtunzia anaempa fedha na marupurupu ama kumhalalishia ubadhirifu wake heshima hata kidogo? Tunapelekwa wapi?
 
Wamesha maliza kwa wapinzani sasa wamegeukiana. Kama makonokono vile hayo majamaa nayo yanajinsia zote mbili hivyo ukizubaa kidogo tu umepigwa mimba.
Rais katukana wapinzani na watanzania mpaka wote wameisha, sasa kaligeukia baraza lake la mawaziri. Wateule nao baada ya kuona mkuu kaanza kula vito vyake nao wameanza kulana. Yaani hii nchi ni full Babeli.
Duh Hatare,
Comment bora ya mwezi hii..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom