DC Kiteto: Wazazi tengeni chakula cha watoto wenu shuleni

CHUKURUMA

New Member
Apr 18, 2019
3
0
Mkuu wa wilaya ya kiteto Mbaraka Batenga ametaka wazazi na walezi kujiandaa mara watakapoanza kuvuna mazao yao shambani wahifadhi kisha na watenge kwa ajili ya watoto wao kula chakula shuleni.

Amesema hayo kuwa pamoja na maelekezo ya Serikali kuwa wanafunzi wawe wanakula shule kuna baadhi ya wazazi na wazazi wamekaidi.

Hivi mnaona shida gani kutenga chakula kwa ajili ya watoto wenu kula shuleni..kama mnavyo paswa kula nyumbani na watoto wenu hapa shuleni wanatakiwa pia kula hivyo tengeni chakula kwa ajili ya watoto wenu kula chakula shuleni.
 
Sawa hivi chumvi bado upo c.centre
 
Back
Top Bottom