DC Arusha Mjini kupandishwa kizimbani kwa kuingilia Halimashauri

Naima Ernest

Member
Apr 5, 2013
41
22
Wanabodi
kuna sakata linaendelea kwenye soko la Kilombero,kuhusu uhalali wa nani anastahili kulipwa Ushuru,Diwani wa kata ya Levolosi Mh Nanyaro amekuwa kwa wiki nzima akisisitiza wananchi kutolipa ushuru kwa kuwa wanaochukua hawana mkataba na Halimashauri ni makada wa ccm walioletwa na Dc kinyume cha sheria,na fedha hazifiki Council
Muda huu Mh Nanyaro yupo sokoni na ametangaza kuwa anampeleka DC mahakamani Jumatatu kwa kuibia council,
Huyu DC ni muhuni,hana kazi,ameingilia Halimashauri,anaiba kodi zenu,jumatatu lazima apande kizimbani,yeye pamoja na aliowaleta huku sokoni,muda wa kufanya uhuni umepita,amesema Nanyaro......
 
Ndiyo tatizo la MaDC ambao ni makada wa CCM.
 
Tunakutakia kheri Mh. Diwani kwa uamuzi huo uwe fundisho kwa viongozi wengine wanaokiuka taratibu/sheria kwa maslahi yao
 
CCM wamehalalisha wizi wa kodi za watanzania.
Serikali ya ccm inapenda kuwakandamiza walipa kodi bila sababu ya msingi.
Wizi ni sehemu ya sera ya ccm.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Safi kabisa go on Nanyaro,,,afu sasa huyu jamaa ni Bwana Mdogo lakini ana mambo ya kizamani,,,watu wanapambana na ufisadi yeye ndo kwanza anaendekeza....GO ON Nanyaro
 
ni chama hiki tu ndo chenye kuthubutu kupinga dhuluma kwa wanyonge
 
John Mongela si mwizi na wala hana tamaa ya mali. Hii habari imetungwa kwa lengo la kumchafua bwana mdogo John.
 
are u serious? Unamjua John toka lini ww??? Mwizi huyo wa fedha,mwizi wa wake za watu,gamba mdogo huyo,NANYARO Pandisha huyo kizimbani.
 
Mhhnnn..DC John alifikiri arusha sawa na alikokuwa kigoma-wizi nje nje....magamba na watoto wao! Mungu tu aingilie kati.
 
are u serious? Unamjua John toka lini ww??? Mwizi huyo wa fedha,mwizi wa wake za watu,gamba mdogo huyo,NANYARO Pandisha huyo kizimbani.

Ninamjua John toka kipindi kirefu sana. Tumesoma wote India kwa muda wa miaka mitatu, na mpaka Dar tumesota wote kutafuta maisha. Jamaa si mtu wa kujikweza hata kidogo, na pia hana tamaa na mali.
 
Watu wanabadilika kutokana na mazingira.....wengine wanakula kwanini naye asionie japo kidogo?...Nanyaro endelea kwa Pilato itaamuliwa huko mbele kama ana hatia au hana...
 
Wanabodi
kuna sakata linaendelea kwenye soko la Kilombero,kuhusu uhalali wa nani anastahili kulipwa Ushuru,Diwani wa kata ya Levolosi Mh Nanyaro amekuwa kwa wiki nzima akisisitiza wananchi kutolipa ushuru kwa kuwa wanaochukua hawana mkataba na Halimashauri ni makada wa ccm walioletwa na Dc kinyume cha sheria,na fedha hazifiki Council
Muda huu Mh Nanyaro yupo sokoni na ametangaza kuwa anampeleka DC mahakamani Jumatatu kwa kuibia council,
Huyu DC ni muhuni,hana kazi,ameingilia Halimashauri,anaiba kodi zenu,jumatatu lazima apande kizimbani,yeye pamoja na aliowaleta huku sokoni,muda wa kufanya uhuni umepita,amesema Nanyaro......

DC ni DISTRICT COMMISSIONER; Kama ni hivyo Ni Mtoto wa Getrude Mongella -- John Mongella ndio DC wa ARUSHA

Sasa ndio Unayemuongelea???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom