dawa zakichina zinapozidi ni hatari

Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
698
475
424224_10150628874493536_765683535_9142973_272094430_n.jpg wanawake wapunguze matumizi ya hizi dawa za kichina za kuongeza makalio ni hatari sana
 
hiyo akina dada wenyewe wanajua hakuna haja ya kutoa somo na wakati watu kibao athari zinaonekana....
 
View attachment 47974 wanawake wapunguze matumizi ya hizi dawa za kichina za kuongeza makalio ni hatari sana

Hivi hapo mtu huyu anawezaje kupata balance maana kwa kanuni rahisi ya Fizikia tayari centre of gravity imehama, huyu na mawili ya kuchagua ama akisimama/tembea ainamie mbele ama abebe begi kwa mbele ku-counter uzito unaoelekea kumwelemea kwa nyuma.
 
Kinachonishangaza ni kuwa wachina wenyewe maumbo yao kama watoto, kwann nao hawatumii hayo madawa?
 
Kinachonishangaza ni kuwa wachina wenyewe maumbo yao kama watoto, kwann nao hawatumii hayo madawa?
Jamani muache udhalilishaji na ni kwa faida ya nani??? Kwanza hii si picha ya kweli mmecheza na computer tu. Angalia kwa makini ina rangi mbili. Na je anatembea vipi?? Udhalili huu kwa faida ya nani??
 
Hivi hapo mtu huyu anawezaje kupata balance maana kwa kanuni rahisi ya Fizikia tayari centre of gravity imehama, huyu na mawili ya kuchagua ama akisimama/tembea ainamie mbele ama abebe begi kwa mbele ku-counter uzito unaoelekea kumwelemea kwa nyuma.

Ha ha ha ha ha!
 
Uyo dada akija kwa wadau km sisi ni mbichi mbichiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii bora nikafie mbele afu najua hapo mlango wa jikoni nao mia
 
Back
Top Bottom