Dawa za serikali zinauzwa katika pharmacy za watu binafsi...

Mdondoaji

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
5,108
1,136
Dawa za serikali huibiwa barani Afrika
Wagonjwa wa Malaria

Wagonjwa wa Malaria

Matokeo ya utafiti umethibitisha kuwa dawa za kutibu ugonjwa wa Malaria, zinazotolewa kwa nchi kadhaa barani Afrika huibiwa na kisha kuuzwa katika hospitali na duka za kuuza dawa za kibinafsi.

kwenye ripoti iliyochapishwa na jarida moja la matibabu, watafiti kutoka Marekani na Uingereza walinunua dawa kutoka miji kumi na moja barani afrika na waligundua kuwa moja kati ya ishirini ilikuwa mali ya zahati na hospitali za serikali.

Wataalamu wengine wamethibitisha kuwa matokea ya utafiti huo ni ya kweli. Zaidi ya watu milioni moja hufa kila mwaka kutokana na ugonjwa wa malaria barani afrika.

Source: BBC.

Yaani mafisadi hawana hata huruma mpaka uhai wa mtu wanafisidi duh!!!!
 
Last month nilinunua dawa from one of famous pharmacy nkakuta imeandikwa for free,ilikuwa COARTEM
 
wakuu... hilli ni kweli kabisa... na bahati mbaya sana wadau wakuu ni mahospiali yenyewe na supply systems za serikali

Njowepo, ulipogundua imeandikwa for free ulifanya nini??
 
Last month nilinunua dawa from one of famous pharmacy nkakuta imeandikwa for free,ilikuwa COARTEM

Umenichekesha sana maana na mie nilinunua dawa pale Namanga karibuni ya malaria nikakuta imeandikwa hivyo hivyo nikashangaa anyway nikasema kazi ipo
 
wakuu... hilli ni kweli kabisa... na bahati mbaya sana wadau wakuu ni mahospiali yenyewe na supply systems za serikali

Njowepo, ulipogundua imeandikwa for free ulifanya nini??

Ah ukiwaambia unadhani watafanya nini?
 
Back
Top Bottom