Kwani siku zote unatumia nini
Mh! Ni vyema ukamwona Docter
Faida yake si ni kusaidia unyoaji!.!? Madhara inategema na make na ngozi yako, inatakiwa utest kabla ya kutumia ili kujua kama una allergy nayo au sivyoNaombeni wadau mnihabarishe madhara na faida ya kutumia shaving powder au shaving cream sehemu za siri
Faida yake si ni kusaidia unyoaji!.!? Madhara inategema na make na ngozi yako, inatakiwa utest kabla ya kutumia ili kujua kama una allergy nayo au sivyo
haswaaaa! labda yale mambo yetu yeshaharibika yakheee!!