Dawa ya sumu ya tandu

Sijui kama kuna dawa maalum, lakini usiwe na hofu sana hakutatokea chochote cha kutishia uhai wako, ila maumivu yakizidi kula vidonge vya kupunguza maumivu na kwenda hospitali haraka.
 
Sijui kama kuna dawa maalum, lakini usiwe na hofu sana hakutatokea chochote cha kutishia uhai wako, ila maumivu yakizidi kula vidonge vya kupunguza maumivu na kwenda hospitali haraka.
BAK, uko sahihi sana!! kitu cha kwanza kuepuka hapo ni hofu! kwani inakuza hali ya ugonjwa wakati kiuhalisia hakuna tatizo la kina sana!!
 
Last edited by a moderator:
huyu tandu si nimesikia kuwa sumu yake kukutoka ni mpaka umkamate umchome majivu yake ndo uweke kwenye kidonda.....?..mdudu namuogopa huyu.....
 
huyu tandu si nimesikia kuwa sumu yake kukutoka ni mpaka umkamate umchome majivu yake ndo uweke kwenye kidonda.....?..mdudu namuogopa huyu.....
Preta namna ya kutengeneza hiyo dawa inakuwa kama jinsi ya kutengeneza Homeopathic Remedies ...

"Homeopathy: Founded in the 19th century, a practice that is based on the concept that disease can be treated with minute doses of drugs thought capable of producing in healthy people the same symptoms as those of the disease being treated." ... http://www.medterms.com/script/main/art.asp?articlekey=3775

I guess ... hata hiyo ya tandu iliyokuwa deactivated kwa kuichoma kwanza inaweza kuwa effective!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom