Dawa ya stress

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
281
Jamani leo nimepata dawa ya stress nimerudi om baada ya karaha kbao nimewasha tv ktk kusearch nikapata chanel 1 ya chines comedy jamani ucnipimie m2 wangu nikichina k2pu anaechekesha na wanaochekeshwa yani ni full k2ko japo sijui kichina walakukisoma vile vtendo na picha mbavu sina ukiwaangali wanaocheka sura zao zilivyo wakicheka jirani zangu wakurya wana afadhali nawakilisha dawa
 
Back
Top Bottom