Dawa gani nzuri ya kutibu Fungus?

LENGISHO

Senior Member
Sep 15, 2017
169
245
WanaJf naombeni ushauri je ni dawa hani Nzuri ya kutibu Fangas sehemu za Siri ? Nimeshatumia dawa lakin naona mambo hayakai sawa ... Naombeni ushauri
JPEG_20211001_212658_8939701027488512659.jpg
 
Unauliza ni dawa gani nzuri, na pia unasema umeshatumia dawa bila kuitaja jina, mimi nakushauri nenda hospitali daktari atajua chanzo na zimekuathiri kwa kiwango gani halafu atakupatia dawa.
 
Ni Kali lakini ndo kiboko yake hyo ukivumilia n sekunde tuu maumivu Ila baada ya hapo utakuwa umejitibu.

Tafuta Dettol ya maji Ile chupa ya kuvunjika chukua hyo paka kiasi tuu vile utavyoona kila unapooga Yan asubuh na jion naamini utaanza kesho 2-10-2021 nakuomba 5-10-2021 njoo utupe mrejesho.
 
Nlkuwa nasumbuliwa na fungus kwa kpind krefu.... miez kama mnne nyuma nltumia dawa azuma.. kuna gonjwa nlkutana nalo katk miangaiko ya kumpatia bwana mkubwa chakula chake...

Nlpo kunywa iliondoa nafangus zote zlzontesa takriban Miaka 10. Nilkunywa doz mbili kwa kuunganisha. Yaan iliisha ya kwanza nkaenda kununua nyingine ad sasa sina kabisa fungus.

Hiv ndivo nlivyopona fungus, unaweza ukajarbu na ww..kama itakusaidia.
 
Pole sana mkuu,hiyo dawa uliyoweka kwenye picha ni steroid haitibu fungus, actually hua haishauriwi kutumia steroid kama una fungus. Kama una uhakika ni fungus kanunue Terbinafine cream upake asubuh na jioni baada ya kuoga.

Hakikisha unavaa nguo za ndani safi wakati wote,hakikisha taulo lako ni safi,hakikisha unavaa nguo za ndani zilizokauka vizuri na taulo yako uwe unaanika mara baada ya kutumia, ukitumia hiyo dawa ukipata nafuu usiache ghafla,ongeza angalau siku nne mbele za kupaka hata kama utaona tatizo halipo.
 
Tumia hii hapa ni kiboko…
Wanaohitaji wamcheck huyo kwa namba 0767503500 atawaelekeza pa kuipata… Ni mama mstaarabu sana na amesaidia wengi.

Picha ya hiyo hii hapa

596CAE9E-B241-4830-8D60-D23569A7CEC7.jpeg
 
Ni Kali lakini ndo kiboko yake hyo ukivumilia n sekunde tuu maumivu Ila baada ya hapo utakuwa umejitibu.

Tafuta Dettol ya maji Ile chupa ya kuvunjika chukua hyo paka kiasi tuu vile utavyoona kila unapooga Yan asubuh na jion naamini utaanza kesho 2-10-2021 nakuomba 5-10-2021 njoo utupe mrejesho.
Dettol sio dawa ya fungus tafadhali.
 
Nlkuwa nasumbuliwa na fungus kwa kpind krefu.... miez kama mnne nyuma nltumia dawa azuma.. kuna gonjwa nlkutana nalo katk miangaiko ya kumpatia bwana mkubwa chakula chake...

Nlpo kunywa iliondoa nafangus zote zlzontesa takriban Miaka 10...

Nilkunywa doz mbili kwa kuunganisha
Yaan iliisha ya kwanza nkaenda kununua nyingine ad sasa sina kabisa fungus

Hiv ndivo nlivyopona fungus... unaweza ukajarbu na ww..kama itakusaidia
Azuma big no mpenzi,haitibu fungus.
 
Pole sana mkuu,hiyo dawa uliyoweka kwenye picha ni steroid haitibu fungus, actually hua haishauriwi kutumia steroid kama una fungus.Kama una uhakika ni fungus kanunue Terbinafine cream upake asubuh na jioni baada ya kuoga.Hakikisha unavaa nguo za ndani safi wakati wote,hakikisha taulo lako ni safi,hakikisha unavaa nguo za ndani zilizokauka vizuri na taulo yako uwe unaanika mara baada ya kutumia...ukitumia hiyo dawa ukipata nafuu usiache ghafla,ongeza angalau siku nne mbele za kupaka hata kama utaona tatizo halipo.

Safi sana mkuu,, upo vzr....

Vp kuhusu hii dawa chini inafaa kwaajili ya fungus ? Na je kama inafaa, ubora wake dhidi ya Terbinafine cream upoje ?
2889821_images207.jpg
 
Ni Kali lakini ndo kiboko yake hyo ukivumilia n sekunde tuu maumivu Ila baada ya hapo utakuwa umejitibu.

Tafuta Dettol ya maji Ile chupa ya kuvunjika chukua hyo paka kiasi tuu vile utavyoona kila unapooga Yan asubuh na jion naamini utaanza kesho 2-10-2021 nakuomba 5-10-2021 njoo utupe mrejesho.
Wacha mchezo wewe hiyo hata ukiwa huna inakukarabati itakuwa kwa mdau huyu utakuwa kama unabanika bandama HAHAHA🤣🤣🤣
 
Safi sana mkuu,, upo vzr....

Vp kuhusu hii dawa chini inafaa kwaajili ya fungus ? Na je kama inafaa, ubora wake dhidi ya Terbinafine cream upoje ?
View attachment 1959811
Yes,hii inafaa sana kwa fungus,kwa mtu ambaye hana uhakika sana na ugonjwa wa ngozi alionao hii ndio bora zaidi sababu ina mchanganyiko wa dawa tatu,dawa ya fungus, dawa ya allergy na dawa ya kuua bacteria.Lakini ukilinganisha dawa ya fungus iliyowekwa kwenye mchanganyiko huo peke ake dhidi ya Terbinafine.

Terbinafine ni bora zaidi, kwahiyo kwa mtu ambaye ana uhakika asilimia mia kuwa ugonjwa wake wa ngozi ni fungus bora atumie Terbinafine, kama mtu hana uhakika basi atumie hiyo SKDERM sababu ina mchanganyiko wa dawa nyinginezo nilizotaja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom