Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

Naona kuna walakini sehemu. Inakuwaje mtu unashindwa kuendesha biashara yako kisa eti mtu mmoja? Huyo mwekezaji hakujipanga kabisaaa tuache kulaumu alipoangukia hebu alijikwaa wapi? Mtu anaweza akakushauri lakini sijui kama unaweza ukawekeza pesa kisha ukashindwa kuendesha kisa aliyekushauri hawezi. Labda kama hiyo ni biashara mbovu hata afanyeje asingweza au kama alimkabidhi kila kitu na jamaa katembee navyo. Lakini kama alimkabidhi aendeshe akashindwa why hajatafuta watu wengine? Wataalamu wapo kibao. Tatizo nao utajiri ukizidia huondoa maarifa

Mosha ni kilaza....hizi biashara za kutumia akili kama hvyo media company hawezi,ni mweupe sana..anaweza kazi zisizotumia akili kama usafirishaji,shell au Bureau De Change....

Kwanza to begin with ,Mosha aliibuka kibiashara kama accident tu kipindi cha JK,tena akipata tafu la Riz Moko....Accident ingine kubwa ni kupata mkataba wa kusafirisha mafuta ya Kobil nadhani East Africa and Central,hapo tu!

Ni pure accident!

Mosha anatumia kujuana na watawala kufanya biashara,sio kinyume chake.Utawala wa JK umesepa na yeye kasepa!

Ukitaka kujua Mosha ni accident,alipata hela ya ghafla akageuka limbukeni,ulimbukeni ni ishara kua hiyo biashara ni accident na wala sio mipango thabiti ya kitaalamu.Aliwehuka moja kwa moja....Sasa hela imekata karudi ground state!

Kwa kifupi ni kua,Mosha hana business acumen kama alivyokua anajipromoti,na failure ya Swahili Media ni clear kabisa jamaa ni overrated na hana uwezo.Majay wa EFM tuseme kampita mbali mno.

Mosha is a looser...mfanyabiashara wa kweli hawi mwanasiasa,sasa anawatumia kama dummies....eti anaenda kugombea ubunge Moshi,what a looser!....Unafungua media company inakufa,wakati ni a small thing you run it 100% perfect kwa kupiga simu!

Aliishia la 7,low IQ yake ultimately imejiidhihirisha!....

Kuna reason kwanini mtu ana IQ kubwa au msomi,there is a reason for that!

Jitu jingine bure kabisa ni Musukuma....

Musukuma akijigeuza afungue kampuni ya media au engineering,etc...ubovu wa akili yake utakua exposed!
 
- No way nenda Breal utayaona yote, Dizzm wanasoma hapa kama ninayoyasema ni uongo si watasema au wangeshasema, unajua Vijana wa kiume kuwa na umbeya kiasi hiki inasikitisha sana duh!

le Mutuz Superbrand
Mbona ya blogu ya wananchi umekuja mbio mbio umekimbiza vimiguu vyako ukaipost hapo? Weka contract acha tantalilah... Yani ni sawa na mi nikuambie nenda JF offices wakuambie mimi ni nani
 
Mosha ni kilaza....hizi biashara za kutumia akili kama hvyo media company hawezi,ni mweupe sana..anaweza kazi zisizotumia akili kama usafirishaji,shell au Bureau De Change....

Kwanza to begin with ,Mosha aliibuka kibiashara kama accident tu kipindi cha JK,tena akipata tafu la Riz Moko....Accident ingine kubwa ni kupata mkataba wa kusafirisha mafuta ya Kobil nadhani East Africa and Central,hapo tu!

Ni pure accident!

Mosha anatumia kujuana na watawala kufanya biashara,sio kinyume chake.Utawala wa JK umesepa na yeye kasepa!

Ukitaka kujua Mosha ni accident,alipata hela ya ghafla akageuka limbukeni,ulimbukeni ni ishara kua hiyo biashara ni accident na wala sio mipango thabiti ya kitaalamu.Aliwehuka moja kwa moja....Sasa hela imekata karudi ground state!

Kwa kifupi ni kua,Mosha hana business acumen kama alivyokua anajipromoti,na failure ya Swahili Media ni clear kabisa jamaa ni overrated na hana uwezo.Majay wa EFM tuseme kampita mbali mno.

Mosha is a looser...mfanyabiashara wa kweli hawi mwanasiasa,sasa anawatumia kama dummies....eti anaenda kugombea ubunge Moshi,what a looser!....Unafungua media company inakufa,wakati ni a small thing you run it 100% perfect kwa kupiga simu!

Aliishia la 7,low IQ yake ultimately imejiidhihirisha!....

Kuna reason kwanini mtu ana IQ kubwa au msomi,there is a reason for that!

Jitu jingine bure kabisa ni Musukuma....

Musukuma akijigeuza afungue kampuni ya media au engineering,etc...ubovu wa akili yake utakua exposed!

- Hizi ni chuki tu ndugu yangu Davis ni binadam kama wewe kapigana kafikia alipo na wewe pigana ufike mbele yake zaidi, ila kumtukana mtu kwa kupigania maisha yake na kufanikiwa sio sawa, Davis anaajiri wananchi wengi sana imagine asipowapa ajira wataenda wapi?

le Mutuz Superbrand
 
33850133_947293545453044_5126607083449352192_n.jpg

- I know ndio mawazo ya kimasikini hayo ninayaogopa sana maana 0.1% sio sawa na bure kama wewe mzigo wa kushinda JF kutukana wanaume usiowajua tena kwa majina ya bandia, hahahahahahaha pole sana mimi sio level yako nipo mbali sana ndio maana lazima unisome na unifuatilie hahahahahah U know!

le Mutuz Superbrand
Hizi document za kumiliki blog hata mtoto wa darasa la 7 anaweza kutuma hapa.

Inamaana hizi document ndiyo kidhibitisho kuwa wewe ni mmliki wa radio na tv ambazo mmewakodishia Dizzim???
 
- Hizi ni chuki tu ndugu yangu Davis ni binadam kama wewe kapigana kafikia alipo na wewe pigana ufike mbele yake zaidi, ila kumtukana mtu kwa kupigania maisha yake na kufanikiwa sio sawa, Davis anaajiri wananchi wengi sana imagine asipowapa ajira wataenda wapi?

le Mutuz Superbrand

Na wewe unajua mimi nimeajiri watu wangapi?

Kumbuka,Mosha kuajiri watu hakumuondolei sifa ya kua stupid!

Nipe possible failures za Swahili Media?Ni 100% on Mosha's idiocy!

Amekua exposed,hana akili ya ku-run abit technical enterprises!Its true!

Biashara za wasio na akili hua ni zile zile,malori,mabasi,sheli,Bureau De Change na real estate za kishamba...Hizo hizo,nothing else!

Chuki na Mosha kuna mtu ananilipa?
 
Well put brother
 
Above 50years old Man..lakini mambo ya kitoooto..as if you're under 30.. Kazi kujipendekeza kwa watu maarufu kisha unapost kwenye IG..eti business meeting.. hahahahaha naaafwaaaz wakati unakutana nawa sehemu husika wakiwa na mambo yao binafs na kuomba selfie..hahahaaha. eti umaarufu umaarufu gani..??? Mjukuu wako Millard ayo mwenyewe humpati hata theluthi lakini hajishowoff hata siku moja. Au umaarufu wa kuwasindikiza Nandy, Harmorapa na Gigi money kwenye night club mikoani...???
 
- Ninao wengi sana yupi unayemuongelea? hahahahahhahahaha

le Mutuz Superbrand
Anamuongelea yule demu wako aliyekurekodi video ukiwa unajifuta kibamia chako baada ya kuoga
Nilishangaa sana kuona ile video.. Hilo ndio tatizo la babu kudate na vitoto vidogo.. Hii aibu haiwezi kumwacha salama

Hv mtu wa 60+ unawezaje kufanya ujinga wa vile???...yan hata mm nikiwa na dem chumbani huwa hatutumiagi CM... CM zetu huwa tunazima kwa kweli
 
Above 50years old Man..lakini mambo ya kitoooto..as if you're under 30.. Kazi kujipendekeza kwa watu maarufu kisha unapost kwenye IG..eti business meeting.. hahahahaha naaafwaaaz wakati unakutana nawa sehemu husika wakiwa na mambo yao binafs na kuomba selfie..hahahaaha. eti umaarufu umaarufu gani..??? Mjukuu wako Millard ayo mwenyewe humpati hata theluthi lakini hajishowoff hata siku moja. Au umaarufu wa kuwasindikiza Nandy, Harmorapa na Gigi money kwenye night club mikoani...???
Ujue hili lizee linahisi lenyewe ndio linatembea mikoani while hata hapo mbeya kwenye white party ya nandy nililiona linajipendekeza kwa vitoto vya TIA na Mzumbe
 
Ninalifamu vizuri in and out asilimia kubwa mambo yake yamekaa kiudalali dalali hususan maswala ya mademu maarufu na kujifanya linafahamu mambo mengi na kufahamiana na watu maarufu. Halina ujanja wowote tofauti na kujipendekeza kwa watu wenye pesa. Na yeye pia aninifahamu vizuri tu sema ndo natumia ID fake akinigundua lazima litanimaid sana, hahahahahaha
 
- Yes ndilo gari langu kila nikipita nawaona watu wengi wanasubiri mabasi so najua nina gari au unasemaje sio gari?

le Mutuz Superbrand
kweli MP wangu mtarajiwa wa mtera mbona kule hata vibajaji poa tu hahahaha le Mutuz tha big show
 
Back
Top Bottom