Davis Mosha ajuta kumfahamu Le Mutuz, amuuzia Sallam TV na radio yake

Le Tumbozi , Le Kibamiaz
33850133_947293545453044_5126607083449352192_n.jpg
 
le mutuz tatizo lako ni maneno mengiiiii vitendo sifuri... Huna lolote laiti ungekuwa una pesa the way unavyojishow off dunia nzima ingejua. Yaani kuwa na kimradi cha 5ml basi unajiona booonge la akili kubwa hahahahaaha..unayoyafanya sasa yalishafanywa kitambo sana tena na vijana wa under 30 wa sasa... Eti kula five star (double tree, southern sun) nako ni ujanja.hahaaha Tuliozitoa bikra (kwa kula na kulala kwa mara ya kwanza wakati zinafunguliwa) tusemeje...? Tumewaachia ninyi mnaokuwa kiumri kurudi nyuma na sio kwenda mbele..wakati sisi tunaziona ni kama Delux ya sinza kijiweni hahahahahaha naaafwaaz

- Pole sana ninafanya kazi ya Social Media ambayo ina demand nionyeshe my lifestyle kwenye my Social Media tools, ila mimi binafsi ninayo maisha yangu mazuri sana na ninayapenda. Five Star Hotels huwa ninaalikwa kutokana na umaarufu wangu na nia yao huwa wanataka niwatangaze kuwa nimekula kwao.

- Toka Ramadan ianze nimekuwa naalikwa Hilton Hotel, kuanzia leo nimealikwa Serena ndio maisha yangu kutokana na kazi yangu, hayo mapovu yako sio fair cause huelewi kitu kuhusu my life, pole sana maana umetoka mapovu for nothing mimi I am just having fun with my life, na by the way sio Watanzania wote 55M wanaweza kula futari ya Tsh. 65K as I do.

- Tatizo lako ni huna maisha, wenye maisha hawana muda wa kujali mambo ya wenye maisha wengine ni MPAKA UWE HUNA MAISHA!

le Mutuz Superbrand
 
Unaona sasa ninayoyasema...? Hii ni sawa nakuonesha cheti cha kuhitinu form four kana kwamba umehitimu peke yako nchi nzima.hahahaahaha ushamba tu.. Wajukuu zako wenyewe hawawezi fanya upuuzi kama huu.. Siku zoote mtu anayejishow off sanaaaa hana lolote.

- Hizi ni leseni mpya za kazi zangu ambazo wewe huna ungekuwa nazo usingekuwa na muda wa kulia lia hapa, hapa kama unahitaji ajira karibu sana nitafute tu usione aibu hahahahaha

le Mutuz Superbrand
 
- Pole sana ninafanya kazi ya Social Media ambayo ina demand nionyeshe my lifestyle kwenye my Social Media tools, ila mimi binafsi ninayo maisha yangu mazuri sana na ninayapenda. Five Star Hotels huwa ninaalikwa kutokana na umaarufu wangu na nia yao huwa wanataka niwatangaze kuwa nimekula kwao.

- Toka Ramadan ianze nimekuwa naalikwa Hilton Hotel, kuanzia leo nimealikwa Serena ndio maisha yangu kutokana na kazi yangu, hayo mapovu yako sio fair cause huelewi kitu kuhusu my life, pole sana maana umetoka mapovu for nothing mimi I am just having fun with my life, na by the way sio Watanzania wote 55M wanaweza kula futari ya Tsh. 65K as I do.

- Tatizo lako ni huna maisha, wenye maisha hawana muda wa kujali mambo ya wenye maisha wengine ni MPAKA UWE HUNA MAISHA!

le Mutuz Superbrand
Boss hiyo futari ya 65k kwa siku 30 ni Million 2 kasoro 50k.. Hii pesa si inatosha kuweka grills na hata milango miwili kwenye ile nyumba yako unayojenga?
 
Boss hiyo futari ya 65k kwa siku 30 ni Million 2 kasoro 50k.. Hii pesa si inatosha kuweka grills na hata milango miwili kwenye ile nyumba yako unayojenga?

- Ile nyumba siitaki naitafutia mnunuzi ila ya M bweni ndiyo ninaifanyia kazi, pole sana hahahahaha

le Mutuz Superbrand
 
Nakufa
- Pole sana ninafanya kazi ya Social Media ambayo ina demand nionyeshe my lifestyle kwenye my Social Media tools, ila mimi binafsi ninayo maisha yangu mazuri sana na ninayapenda. Five Star Hotels huwa ninaalikwa kutokana na umaarufu wangu na nia yao huwa wanataka niwatangaze kuwa nimekula kwao.

- Toka Ramadan ianze nimekuwa naalikwa Hilton Hotel, kuanzia leo nimealikwa Serena ndio maisha yangu kutokana na kazi yangu, hayo mapovu yako sio fair cause huelewi kitu kuhusu my life, pole sana maana umetoka mapovu for nothing mimi I am just having fun with my life, na by the way sio Watanzania wote 55M wanaweza kula futari ya Tsh. 65K as I do.

- Tatizo lako ni huna maisha, wenye maisha hawana muda wa kujali mambo ya wenye maisha wengine ni MPAKA UWE HUNA MAISHA!

le Mutuz Superbrand
Nakufahamu IN and out huwezi kunidanganya mimi wadanganye hao majuha unaowadanganya.. Lifestyle yako naifahamu..huna uwezo huo unaosema. Mwenye uwezo hawezi kujisemea lifestyle yake.. Eti futari ya 65k hahaahahahahaha
 
33850133_947293545453044_5126607083449352192_n.jpg

- I know ndio mawazo ya kimasikini hayo ninayaogopa sana maana 0.1% sio sawa na bure kama wewe mzigo wa kushinda JF kutukana wanaume usiowajua tena kwa majina ya bandia, hahahahahahaha pole sana mimi sio level yako nipo mbali sana ndio maana lazima unisome na unifuatilie hahahahahah U know!

le Mutuz Superbrand
Mzee baba onyesha hiyo mlio partner na mosha achana na hivi vi blog blog onyesha documents za AST tuone acha kujifaragua wakati mosha anamind mbaya kuhusu wew na utapeli wako kila siku ulikuwa unaomba pesa uende china mara wapi kumbe mbumbumbu tu
 
Nakufa

Nakufahamu IN and out huwezi kunidanganya mimi wadanganye hao majuha unaowadanganya.. Lifestyle yako naifahamu..huna uwezo huo unaosema. Mwenye uwezo hawezi kujisemea lifestyle yake.. Eti futari ya 65k hahaahahahahaha

-
33850133_947293545453044_5126607083449352192_n.jpg

- Pesa sina sawa sawa niambie gharama ya kulipia hizi leseni, unaijua? huwa sijitambi kuhusu kuwa na pesa nimejifunza kwa baba yangu hana pesa, ila mimi ni pesa hahahahahahahhaa U know

le Mutuz Superbrand
 
Mzee baba onyesha hiyo mlio partner na mosha achana na hivi vi blog blog onyesha documents za AST tuone acha kujifaragua wakati mosha anamind mbaya kuhusu wew na utapeli wako kila siku ulikuwa unaomba pesa uende china mara wapi kumbe mbumbumbu tu

- Sihitaji kumuonyesha anyone, nenda Brela inaruhusiwa kuonwa na public, nipo ofisini kwangu now by the way napiga mzigo maneno maneno huwa sina zaidi ya maneno ya kazi kazi hahahahaha!

le Mutuz Superbrand
 
Jin
Boss hiyo futari ya 65k kwa siku 30 ni Million 2 kasoro 50k.. Hii pesa si inatosha kuweka grills na hata milango miwili kwenye ile nyumba yako unayojenga?
Jinga sana hilo linajiona jaja wakati nalifahamu vizuri tu..linapenda sifa sana na hayo matangazo linayopost kwenye IG zake mengi ni ya kujipendekeza linafanya bure na kuambulia ofa za msosi tu..
 
- Kama ninavyosema siku zote uongo usipojibiwa na ukweli na mapema sana hugeuka kuwa ukweli, ukweli ni kwamba:-

1. Mimi na Davis Mosha bado ni wamiliki wa AST, tulifika mahali tukakubaliana kwamba ili kupata faida KUBWA kuliko tuliyokuwa tunapata ni bora kukodisha TV na Radio zetu kwa yoyote anayeweza kuiendesha na kutulipa kila mwisho wa mwezi.

2. Walitokea watu wengi waliotaka kukodisha, lakini kwa pamoja tukaamua kuwakodisha tunaowafahamua zaidi yaani DIZZM.

3. Mimi na my patner Mosha hatujawahi kugombana wala haitakuja kutokea kwa sababu tunazo biashara nyingi zaidi ya TV na Radio, infact kila jioni ya mwezi huu wa Ramadan Mosha ana tabia ya kuwaomba marafiki zake wote kufika nyumbani kwake kufuturu na huwa ninahudhuria sana.

- Hii chuki na wivu wa my lifstyle haikuanza leo najua kwamba haitaisha leo, kwa taarifa yako ni kwamba hata kwenye my Online TV & Radio Mosha yupo very much involved, poleni sana ndio mawazo ninayoyaita ya masikini ukiwazidi huwa kazi yao ni kuombea uanguke uwe kama wao....hahahahahahaha.....tafuteni lingine kwenye hili mmekosea sio ukweli kama mengine yote ambayo huwa mnahangaika nayo!

- Otheriwse, ninawashukuru sana kwa free media coverage maana siamini mpaka leo 2018 bado Brand yangu "Le Mutuz Superbrand" ina nguvu ya kupata page 11 hata bila mimi mwenyewe kuwepo, nilikua busy sana ndio maana sikuwepo.

- Nilisafiri Cape Town/SA nilialikwa na Cape Town International Jazz Festival kwenye maonyesho yao ya Dunia ya kila mwaka, niliporudi nilisaifiri kikazi Mbeya, Mwanza, Mbeya nikarudi Mwanza tena na majuzi nilikua Dodoma, ndio maana sikuwepo hapa muda mrefu sana ila sasa nipo Dar.

le Mutuz Superbrand
Ona hili Jinga. Embu angalia agemates zako wakina Mengi TV na radio stations zao halafu compare na hiyo camera na laptop (unayoita studio ya online TV) unayomiliki
 
Back
Top Bottom