David silinde uko wap? CHADEMA tunakuhiaji Arumeru!

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
kila mfatiliaji mzuri wa siasa anatambua mchango wako katika kupigania haki za wanyonge, mpaka uliwahi kufukuzwa UDSM kwa ajili ya kupigania hak za wanafunzi wenzako, hata kule kwenu mbozi ulipigana mpaka kikaeleweka ukamshinda siame wa CCM ijapokuwa alikudharau kwamba we ni kijana mdogo eti hauna pesa lakini kwa uzito wa upiganaji wako eventualy ukashinda.
plzzz njoo arumeru sasa usaidiane na makamanda wenzako wa CHADEMA ili tuongeze impact za kutosha hadi magamba wakione. tumpeleke kijana wetu Nassary mjengoni.
 
wewe inaelekea hujapigana vita na hujui mbinu za vita! huwezi kupeleka silaha zote kali mstari wa mbele unaongeza na kupunguza silaha ukipima nguvu ya adui, hivo usijali makamnda wote hawa silinde, zitto, ndesa pesa, mnyika na kamanda wa vikosi vya anga mh. mbowe wataingia uwanjani kadri ya muda na plan ya vita,. hii ni kuwachanganya magamba tuu maana wanajiuliza je mbowe akija anakuja na lipi?
 
Back
Top Bottom