David Kampista: Kama niliwahi kumlinganisha Aziz Ki na Chama nilikuwa nimelewa

Aziz ki lazima apate raha timu inacheza muda wote.

Chama lazima apate tabu ni mchezaji anaependa awe na mpira mara nyingi afanye yake.

Si mchezaji mzuri akiwa anapata mipira kwa nadra tena kazungukwa na wachezaji wabovu na mfumo mbovu.
Ukimchukua chama akacheze oale yanga atashine tena na tena.

Sijasema aziz ki ni mbovu.
 
Back
Top Bottom