Dau la Taarifa za kupatikana kwa Ben Saanane!

Halafu ona baadhi ya Watu walivyo ' Wapumbavu ' hasa yaani wamemuacha aliyeanza Kunitukana aliyeniita Mbwa wamekuja Kwangu niliyemjibu kwa Pigo ' takatifu ' ambalo najua limemuingia vilivyo na ndiyo maana hadi sasa limemlevya na amebaki tu kuweweseka. Nina miaka mitano hapa na naingia wa sita sijawahi na sitokuja Kumdhihaki Mtu kwa kumuita Mbwa halafu anatokea Mpuuzi mmoja ananiita Mbwa tena kirahisi rahisi tu akitegemea nitamuacha bila kumpa ' dozi ' yake mujarab / sahihi kabisa.
Dawa ya mpuuzi kumpuuza.mpuuzi mwenyewe ni wewe.umezoea maswala ya vijiweni unayaleta mpaka huku.Unajihisi uko na akili sana wewe ngedere???Hilo bichwa lako sijui linanini.Nikisema lina 'MAVI'ntakua nimekupendelea mana tunaweza tumia kwa mbolea.Anyway narudia tena "wewe ni mpuuzi acha nikupuuze"
Ndo nishasema...
 
Nashukur sana mkuu, siyo kwa ahadi ya mchango tu... Zaidi zaidi kwa maoni yako pia. Pamoja sana!
kwa taarifa za awali...ndugu wa ben/familia nilipata taarifa kuwa wanaishi Tabata njia ya segerea ila kama tukiwa makini kuwapata sio tatizo...kinacho takiwa ni mpango endelevu...kudhibiti vibaraka waovu, vile vile kuwa na moyo pasi na kuchoka...maana ukianza mbio ni vyema kuimaliza ni dhambi kuishia njiani...!
 
Mkuu kule KIBITI serikali ilisimamia hadi kupeleka jeshi la wananchi. Hili la Saanane bado kizungumkuti tu wala uchunguzi hamna, ni politics tu.

Nchi inaharibika kama politics zinaweza kuwa ni justifications for any horrific actions!

Kule KIBITI hatukuisapoti serikali, hatukujitoa kuwasaidia wenzetu waliokuwa wakiuwawa ndugu zao, watu wakaanza kukimbia Kibiti, wenye ndugu Askari Polisi kila siku walijawa na hofu, Hatukuwafariji ndugu hawa wala kuwaunga mkono zaidi ya kutoa maneno ya kejeli na kashfa kwa askari wanaokufa (hatua mbaya sana hii inayokosa utu tena kwa sababu za kisiasa)
Leo hii TUNAJIFANYA kupaza sauti zetu na kuonyesha umoja wa kinafiki kisa tu wenzetu hawa walikuwa na misimamo tofauti na serikali...... (bado nasema kama taifa tujihoji)

Kama taifa (tuweke mizania sawa) iwe kwa anayesapoti serikali ama anayepinga serikali, anapofikwa na jambo ambalo si sawa sisi sote kama watanzania pasipo kujali itikadi zetu tusimame pamoja!......
Na si kuonyesha umoja wa kinafiki pale tu ambapo wale wenye mlengo fulani wanapofikwa ndo tunaonyesha eti tunaouita umoja.
 
Kama heading inavyojieleza...Mimi naanza na 10,000,000/=

Kuna mdau kule kwenye thread ya Ben Saanane, Roman Israel Esq , ambaye alitoa wazo kuwa sisi wanachama wa humu, ikiwezekana, tutangaze dau, ambapo tukifikisha kiasi flani, basi iwe ni pesa ambayo itatolewa kwa yoyote yule mwenye taarifa zitakazosaidia kupatikana kwa Ben Saanane. Dead or alive!

Mimi niko serious, na ninaanza na mchango wangu huo wa 10m TZS.

Nimeguswa sana na issue hii ya Ben kwasababu tulishakuwa kama ndugu kabisa. Tokea akiwa India kule alipojiunga kwa mara ya kwanza. Ile mijadala ya mwanzoni. Hadi alipokuja kurudi nchini na kuendelea na harakati zake.

Ninaomba wale ambao wako serious, basi watoe wazo la kuwa ni dau kiasi gani litatosha ndipo tutangaze?

Nawasilisha!
Natoa 10,000/=
 
Ushauri wangu,

Kwanini tusipitishe azimio la KU-PRINT TSHIRT zenye picha ya BEN SAANANE (kwa mbele na nyuma), nchi nzima, mkoa kwa mkoa, kijiji kwa kijiji, zigaiwe bureeeee. Ili waliokua nae/waliomuua mpaka wachizike kuona sura ya ben.

Mfano iwe hivi, (Sura ya Ben, maneno yawe I MISS BEN SAANANE)View attachment 928129
Sio wote watakaovaa...yawezekana wengi wasivae kwa kutojali, kutojua kusudi au kuogopa.
 
Hii itakaa hapa hadi mwisho huu wa mwezi ndipo tuseme sasa tuna kiasi flani. Nitakuwa nina update total as much as possible.Kama kuna mwenye maoni ya tofauti aweke hapa.

Nashukuru sana kwa mwitikio huu!

Action speaks louder than words!
Wazo zuri sana. Lakini utekelezaji unaweza ukawa nadharia. Ili lengo litimie kama kweli kuna nia ya dhati ni....., Kwasababu alikuwa kwenye taasisi rasimi na ina viongozi wanao aminika, yatupasa tuitumie. Watoe account number tuchangie kwa uwezo wetu. Tujiwekee time limit hata miezi mitatu. Hili wazo tulitendee haki tulifanikishe kwa vitendo. Amen.
 
Kupotea kwa Ben wa Saanane ni kitu nilichoniumiza sana na kinaendelea kuniumiza mpk leo..Nitakuwa sijaitenda haki nafsi yangu kama nami sintotoa ahadi yangu..Tafadhali niweke kwenye list laki 5.
 
Hakuna Tusi ulilotukana hapa na kama umeishiwa nayo sema nikupe mengine kutoka katika Kabati langu kwani yamejaa tele. Kuna ' Wapuuzi ' wenzako walikuwa wanakutetea kuwa nimekuonea kukujibu sasa nawataka wajionee wenyewe hiki ulichokiandika tena hapa halafu nawapa dakika 5 hadi 15 zijazo waseme nani ana matatizo kisha Mimi sasa nimalize Kazi rasmi Kwako kwa kukushushia Bonge la Kombora la Masafa marefu la Mabara kwa Mabara la ICBM.

Cc: gfsonwin, hito , Wise1 , Ambition plus
Nyie jitukaneni nyie kama nyie, lkn swala la kutusi mama zenu aww wako ama wa huyu matusi mwenzio siungi mkono. Itaneni majina yote lkn msiingize mama zenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom