Dau la Taarifa za kupatikana kwa Ben Saanane!

Kuna watu walikuwa wakiua ASKARI wetu, walichafua kibiti, walichafua vituo vya polisi, Tanzania ilinuka damu, viongozi wa serikali za mitaa walikuwa wakipigwa risasi usiku wa manane huku familia zao zikiachwa ukiwa...... HATUKUONA TAMKO.......

DOUBLE STANDARD TUNAYOIEKA KAMA TAIFA SI SAWA.....!
Mkuu kule KIBITI serikali ilisimamia hadi kupeleka jeshi la wananchi. Hili la Saanane bado kizungumkuti tu wala uchunguzi hamna, ni politics tu.

Nchi inaharibika kama politics zinaweza kuwa ni justifications for any horrific actions!
 
Mbona safari hii umeandika Kinidhamu na hujanitukana tena? Ukiniheshimu nitakuheshimu na ukitaka maneno ' Shombo ' hapa ndiyo ' Headquarters ' kwenyewe. Tokea nianze kuwa hapa JamiiForums huu mwaka wa Tano pamoja na ' Utundu ' wangu sijawahi kuambiwa Mbwa au Mimi kumwambia Mtu Mbwa ila kwakuwa umenitafuta sasa naomba uendelee ili nikufundishe adabu. Nawapenda mno ' Mapopoma ' kama Wewe na sijawahi kushindwa Vita ya aina hii kwani naiweza, nimebobea nayo na naimudu vile vile.
Average brain huwa hamunisumbui, eti sijakutukana, hahahah..

Wewe nyaushoga wewe, umeingia choo cha kike..! Matako ya fisi akili zako zimefungiwa matakoni.
 
Yapata miaka mingapi tangu Ben Saanane atoweke?

Je kuna uwezekano wa mtu kutambua kuwa huu ni mwili au mifupa ya Ben saanane ambaye alipotea kama miaka miwili iliyopita?

Je kama hana ushahidi wa kufukiwa labda kachomwa, au katupwa kwa maji nani wa kuweza kuleta ushahidi huo?

Unafikiri suala la mtu na ni nani aliyetekwa akachukua miaka zaidi ya mmoja bila kuonekana, au mabaki yake yakapatikana ukawa ushahidi tosha?

Je vitakuwepo vipimo vya kuweza kutambua vina saba vya Ben na familia yake?

Hii kitu mnaichukulia poa, naona tufanye changamsha genge tu..

Wanaojua Ben alipo ni wao waliomteka!

Mbona nilishakujibu hili?

Maswali yako yote, jibu lake ni ndiyo. Hata kama kafukiwa, au kachomwa lakini kuna mabaki, bado wanaweza kumtambuwa kwa vipimo vy DNA.

Ndiyo hata kama ikichukuwa miaka 10 au 20, kama mabaki yakipatikana, bado inawezekeana kufanyiwa vipimo hivyo vya utambulisho endapo mmojawapo wa ndugu zake ama mtoto wake watatoa ushirikiano.

Ni kwlei wanaojuwa Ben alipo ni waliomteka, na inawezekana wengine pia Zaidi ya waliomteka. Either wamesikia, ama kuona kitu.

Atakayetoa taarifa siyo lazima awe mtekaji.

Kama ni jambo linalojulikana na mtu Zaidi ya mmoja, basi matumaini yapo always.

Na jibu la nyongeza(kuhusu kutambuliwa), ni DNA.
 
Tukiwa na Moyo huu tutafika mbali...tutatoa hizo pesa baba yake ben, mama yake na mke wake pamoja na wawakilishi wawili kutoka humu wafungue account...lakini umakini mkubwa unahitajika...kuna kenge wataufuata msafara wa mamba ili waharibu dhima.
Nahaidi kutoa 50,000/=
 
Kwa Tanzania, na unao huo uthibitisho?
 
Tukiwa na Moyo huu tutafika mbali...tutatoa hizo pesa baba yake ben, mama yake na mke wake pamoja na wawakilishi wawili kutoka humu wafungue account...lakini umakini mkubwa unahitajika...kuna kenge wataufuata msafara wa mamba ili waharibu dhima.
Nahaidi kutoa 50,000/=
Nashukur sana mkuu, siyo kwa ahadi ya mchango tu... Zaidi zaidi kwa maoni yako pia. Pamoja sana!
 
Ushauri wangu,

Kwanini tusipitishe azimio la KU-PRINT TSHIRT zenye picha ya BEN SAANANE (kwa mbele na nyuma), nchi nzima, mkoa kwa mkoa, kijiji kwa kijiji, zigaiwe bureeeee. Ili waliokua nae/waliomuua mpaka wachizike kuona sura ya ben.

Mfano iwe hivi, (Sura ya Ben, maneno yawe I MISS BEN SAANANE)
i-miss-barry-mens-white-tshirt-print-liberation_grande.jpg
 
Attachments

  • i-miss-barry-mens-white-tshirt-print-liberation_grande.jpg
    i-miss-barry-mens-white-tshirt-print-liberation_grande.jpg
    27.4 KB · Views: 20
Halafu ona baadhi ya Watu walivyo ' Wapumbavu ' hasa yaani wamemuacha aliyeanza Kunitukana aliyeniita Mbwa wamekuja Kwangu niliyemjibu kwa Pigo ' takatifu ' ambalo najua limemuingia vilivyo na ndiyo maana hadi sasa limemlevya na amebaki tu kuweweseka. Nina miaka mitano hapa na naingia wa sita sijawahi na sitokuja Kumdhihaki Mtu kwa kumuita Mbwa halafu anatokea Mpuuzi mmoja ananiita Mbwa tena kirahisi rahisi tu akitegemea nitamuacha bila kumpa ' dozi ' yake mujarab / sahihi kabisa.
Hahhaha! Eti pigo pigo lipi nilipate kutoka kwa avarage brain kama wewe..! Mimi konki konki master..! Oili chafu unaichafua kwa kuisafisha

Sasa kama umesema mamangu mbwa nikakujibu ulidhani mamako ndiyo mbwa mwenyewe ata mamako pia. Afu usijue ulichojibiwa kweli u popoma kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom