Dau la Taarifa za kupatikana kwa Ben Saanane!

Damu ya kina Ben,Azory na wote wasio na hatia ndo zimesababisha anga kuwa na Giza laana imechukua nafasi ya BARAKA thus kila kitu kimefail na vyote vitafail hata roho zao zilipe visasi kwa chain nzima na watoto wao then ndo roho hizo zitaondoka duniani kurudi kwa Muumba, hivo wahusika kufail wayafanyayo kubuma ni muendeleze wa kuibeba ile laana. Maana damu ya MTU asiyo na hatia ikimwagika juu ya nchi ardhi hio ugeuka laana Hakuna chochote kitakachoweza stawi juu ya ardhi hio hadi ilipe visasi, hivo wasiojulikana wajiandae kukinywea kikombe cha historia ya matendo yao,hii ni universal laws haizuiliki kwa ndumba wala kwa Nabii. Fanya dhambi zote Lkn epuka kuoga damu utakuwa ni MTU asiye na makao nawe utatangatanga juu ya USO wa ardhi na lzm uvune ulichopanda kabla ujaondoka duniani, hii ni prophetic yaani karma laws.
 
Mimi naapa nitotoa buku 1000/=Tsh naaminini tuko milioni 50, kila mmoja akitoa buku tutakuwa na dau kubwa sana.

1000 × 50 000 000 =
50 000 000 000/= Tsh. Billion hamsini zitapatikana kirahsi kabisa.

Tafuteni namna bora ya kufikisha taarifa kwa usiri mkubwa.
ila kumbuka kuna Watz wengi sana hawajui whatsapp wala internet...wala hawaijui jf
 
Niko ofisini usiwe kama Malaya msema hovyo. Ukae jibless halafu upate wapi ela za hizo bundle za kushidna humu? Na ukizingatia mimi siyo nyie buku saba!

Na bado, naona kuna pahala mmeguswa.
Hata mimi natamani Apatikane ila nachekeshwa na madau yenu ya kwenye keyboards huku mna fake Id
 
Lakini umesema pesa ambayo itatolewa kupatika kwa ben saanane akiwa hai au mfu..

Je unafikiri kama tayari keshakufa kuna uwezekano wowote wa kupatika?
Inawezekan eneo alipozikwa ama mabaki yake yalipo. Kuna wakati watu walikutwa kwenye voroba wametupwa baharini sijui. Ikadaiwa ni wakimbizi sijui, kwahiyo wakafukiwa tu.

Sasa huwezikujuwa mwenye taarifa kuhus mahali ambapo mwili wake unaweza kuwepo endapo atakuwa tayari ameshakufa.
 
Inawezekan eneo alipozikwa ama mabaki yake yalipo. Kuna wakati watu walikutwa kwenye voroba wametupwa baharini sijui. Ikadaiwa ni wakimbizi sijui, kwahiyo wakafukiwa tu.

Sasa huwezikujuwa mwenye taarifa kuhus mahali ambapo mwili wake unaweza kuwepo endapo atakuwa tayari ameshakufa.
Mkishajua kuwa alifukiwa pahala nini kitaendlea?
 
Mkishajua kuwa alifukiwa pahala nini kitaendlea?
Aliyetoa taarifa anapewa dau lake, kisha ndugu wanaamuwa kufaya watakalofanya, pengine kuvunja matanga.

Kama mwili ukipatikana, na kwasababu mwili pia ama mabaki yake ni ushahidi tosha kuwa kuna jambo baya lilompata, hilo tayari ni jambo zuri tu kwa familia yake na wale wote wenye mapenzi na ubinadamu.

Kumbuka ni mtanzania mwenzetu ambaye sidhani kama alifanya kosa lolote kubwa kiasi cha kustahili kifo.
 
Wewe jamaa hapo kabla niliona kama mtu makini,lakini kadri siku naizoea hii,nakuona tofauti sana. Kama huna cha maana cha kuchangia nafikiri ni busara sana kukaa kimya,kuliko unakuja mstari wa mbele kuja kuwakatisha tamaa wengine kwa kuwakebehi wenzio ktk mawazo yao. Kumbuka humu kuna mamioni ya watu,unaibuka tu katikati kwa kuongea kinamna ya tofauti. Huyu jamaa jmush1 nimeona machungu yake sana kuhusu hii kitu na sio wazo baya labda tu ksbb tuko ktk dunia ya kwetu tu kisiwani Tz. jmush1 usivunjwe moyo kabisa kila jambo unaloliona ni kubwa lilianzia ktk wazo dogo sana la mtu fulani. Go,go,go

Hopeless mawazo yangu yaheshimiwe kama vile ambavyo nayaheshimu yako / yenu. Huna Mamlaka ya Kunipangia cha Kuandika hapa na sipo JamiiForums kuwafurahisha Watu fulani au kuwachafua Watu fulani. Halafu huna Kigezo cha Kupima umakini wangu hapa Jamvini kwakuwa hata Wewe mwenyewe huo umakini huna na hautokuja kuwa nao daima milele amina.
 
Kuna jamaa alimtisha na sms akamwambia "Ben we andika na endelea kuandika ipo siku utajikuta peke yako na chatu" Mwisho wa kunukuu........Zitto akasema walijaribu kufatilia mawasiliano ya Ben asubuhi alikuwa tabata,kisha akaenda mikocheni baadae akatumia mda mwingi sana maeneo ya mwenge baadae akasomeka mburahati na ndio ikazimwa maeneo ya huko na haijapatikana mpaka leo,,,,baada ya kupata hayo maelezo ikabidi waende kupeleka polisi,polisi wakaambia live sisi tumefikia hapa na inaonekana ben kachukiliwa na UWT,,,,Mwisho wa kunukuu.

So Sad .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom