Dar's power blues: How TANESCO loses billions

Tanzania inaendeshwa na mafisadi kwa ari zaidi.kasi zaidi na nguvu zaidi. Siku Fisadi ya mwisho ku-RIP ndipo taabu hizi zitaisha vinginevyo Watanzania endeleeni kutegemea maumivu ya Mgawo wa Umeme.

Kilichoandikwa na The Gurdian ni habari za utafiti wa kina ambazo zina ukweli kwa almost 99.99999%. Hizi habari ndizo zilitakiwa zizungumziwe Bungeni kwa kina badala ya kuzungumzia Wabunge waliopokea rushwa toka Makampuni ya mafuta peke yake. Wabunge wanatakiwa waende mbali zaidi kwa kuitisha HII MIKATABA MIBOVU KATI YA TANESCO na kina SYMBION.AGGREKO,IPTL na SONGAS. Kwa hakika kabisa haya makampuni ndiyo yanayoitafuna TANESCO na hivyo kupelekea mzigo mkubwa na migawo ya kipuuzi.

Mikataba gani hii ya KISHENZI ya kumlipa mtu Capacity charge kwa mwezi iwe AMEKUPA UMEME AU HAJAKUPA UMEME? Biashara gani hizi za kuibiana mchana na Serikali imenyamaza kimya?Hawa walio-sign hii mikataba ni kina nani na wako wapi? Kwanini hawakamatwi na wakafikishwa Mahakamani na Mikataba hii kuvunjiliwa mbali??

Hakika hii nchi imelaaniwa na inaongozwa na mazuzu,mazezeta na vichaa walioshindikana kutibika!
Ndugu yangu kama unangojea fisadi wa mwisho a-RIP utangojea mpaka siku ya kiyama. Wanazaliana kila siku. Hebu angalia safu ya viongozi vijana uniambie.
 
Gagnija yaani kama ulikuwa kwa mawazo yangu kuna watu azabu yao ni kunyongwa tuu!
 
Back
Top Bottom