Makedha
Senior Member
- Sep 24, 2010
- 167
- 53
Ngojea niulize swali:
Mtu anakuahidi kukupa milioni moja. Lakini anakupa masharti kuwa lazima ufanye haya mambo mawili:
1)kuna mashindano ya mita 100. Wanaokimbia ni Mzungu, Mwaafrika na Muhindi. Anasema uchague mshindi na kama huyo uliyemchagua atashinda unasogea kwenye la pili. Kama akishindwa unapoteza milioni moja yako.
2) anakuwekea hesabu zito. Alafu anakupa choice ya watu watatu uchague mmoja wa ku-solve. Huyo utakaye mchagua akiweza unapata hiyo milioni. Hao watu ni mzungu, mwaafrika na mchina. Je utachagua yupi?
Sikuelewa kwa nini uliuliza swali hili…Unaamini mwafrika ana akili iliyoko chini? What are your answers?
kwa nini hichi kitu kinasumbua wanawake zaidi ya wanaume?
Nilipoona kuwa light skin ndiyo inayopendelea kwa watu mweupe na mweusi, nikadhani kuwa fikira hizo zilikuwa mazao ya racism kutoka kwa wazungu tu. Lakini, kuona kuwa upendeleo huu upo katika tamaduni zingi duniani, kumenifanya nitafakari zaidi. Kulingana na utafiti niliofanya, wanaume wana upendeleo ya kibailojia wa wanawake wenye "neotonuous features". Yaani, wanaume wengi wanavutiwa zaidi na wanawake walio na sifa za mwili (physical features?) zilizo typical kwa vijana (kama macho makubwa). Maadam light skin pia ni mojawapo wa sifa hizi za vijana, nadhani upendeleo wa light skin una chanzo ya kibailogia.
Rangi ya ngozi haina athiri kubwa kwa partner choice ya wanawake maana wanaume huwa fertile tangu kubalehe kwao mpaka kifo, ilhali wanawake huwa fertile katika ujana wao tu, yaani baina ya umri 12 hadi 50 kwa wastani (ndio sababu wanaume waliowengi huzidi mke wao kiumri).
I know that humans don't purely act and think based on their instinct to maintain our species alive through reproduction, but the instinct is there regardless. Ndiyo maana, vigezo vingi vya uzuri wa wanawake (na wanaume pia) vina msingi wa kibailojia.
(Samahani kwa kuchanganya kwa Kiingereza na Kiswahili kwangu, Bado najifunza kiswahili lakini najitahidi sana!)