mhe. kanyunyu una hakika na ulichokiandika? bw. maneno alikuwa mbunge wa jimbo la chalinze katika bunge lililopita na minimum qualification ya ubunge ni elimu ya kidato cha nne, ni vipi angeukwaa ubunge bila kuwa na elimu hiyo. kumbuka huyu aligombea na omary madega kwenye kura za maoni ndani ya ccm mwaka 2005 ambaye kwa vyovyote asingenyamaza angemlipua tu maneno kama kweli ni darasa la saba. bunge lililopita mbunge pekee aliyefahamika kutokuwa na elimu ya kidato cha nne ni samwel
naomba kuuliza mkuu..majimarefu na deo sanga(jah people)..wamefika 4m 4..?
Hivi hawa wasomi wetu tunaojitapa nao wamelisaidiaje Taifa letu?
Ndugu wana jamii katika kile kinachoonekana kulipana fadhila ndani ya serikali hii, aliyekuwa mbunge wa chalinze 2005-2010 RAMADHANI A MANENO, alishindwa vibaya kwenye kura za maoni mwaka 2010 baada ya kuwadanganya wapiga kura wake kwamba angejiendeleza kielimu,na hakufanya hivyo, mpaka anateuliwa mkuu wa wilaya ya KIGOMA elimu yake ni DARASA LA SABA_____________TAFAKARI.
Je katiba inasemaje kuhusu vigezo vya kuwa mkuu wa wilaya, yawezekana elimu ni kuanzia darasa la saba ndio maana kuna wa darasa la saba mpaka maphd holder.
Ndugu wana jamii katika kile kinachoonekana kulipana fadhila ndani ya serikali hii, aliyekuwa mbunge wa chalinze 2005-2010 RAMADHANI A MANENO, alishindwa vibaya kwenye kura za maoni mwaka 2010 baada ya kuwadanganya wapiga kura wake kwamba angejiendeleza kielimu,na hakufanya hivyo, mpaka anateuliwa mkuu wa wilaya ya KIGOMA elimu yake ni DARASA LA SABA_____________TAFAKARI.
..Mh!! Sidhani ungejaribu kumuuliza the former RC. Joseph Simbakalia anajua alichokumbana nacho kigoma!!! Si rahisi sana kama unavyofikiria..Ndo maana amepelekwa KIGOMA,,,,,NO CHALLENGES OVA THERE
Wanasema huko hakuna kazi ya kutumia taaluma yeyote ndiyo maana ata ukiwa os wa ofisi kuteuliwa kuwa DC sio tatizo cha muhimu uwe mwanachama mtiifu wa CCM
Huyu jamaa alimaliza degree ya social works mwaka 2010 pale chuo cha ustawi. Tuandike vitu baada ya kufanya utafiti. Sio kila mtu aliyeteuliwa hana uwezo. Au ulitaka uteukiwe wewe.
Huyu jamaa alimaliza degree ya social works mwaka 2010 pale chuo cha ustawi. Tuandike vitu baada ya kufanya utafiti. Sio kila mtu aliyeteuliwa hana uwezo. Au ulitaka uteukiwe wewe.
Alisoma wapi lete CV yote itapunguza chumvi