Daraja la Wami Chalinze-Segera lazibwa

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
830
184
Lori la Mkaa Usiku wa saa nane liligonga daraja na kuzuia magari yanayopita daraja hilo kukwama tokea iyo usiku muda huu.Source Clouds'BONGE
 
Sasa kuna uhusiano gani kati ya hii taarifa na siasa? Ili si jukwaa la siasa?

wewe Kiazi elewa kuna zaidi ya Watanzania 2000,pale wamekwama kuendelea na safari,Waliokuwa wanakwenda Kuzika Kaskazini wamekwama na Miili ya marehemu wao pale wewe unatumia Masaburi yako tuu.
 
wewe Kiazi elewa kuna zaidi ya Watanzania 2000,pale wamekwama kuendelea na safari,Waliokuwa wanakwenda Kuzika Kaskazini wamekwama na Miili ya marehemu wao pale wewe unatumia Masaburi yako tuu.

sasa si washushe hayo majeneza wazike haoo wami mbona mapori kibao..na nyie mmezidi kupenda kuzika moshi ndo mkome sasa leo
 
Back
Top Bottom