Mshikaji (Lipumba) tangu mfumo wa vyama vingi anagombea anaishia kupata kura kiduchu. Hachoki? safari hii hata Mrema kapata akili kachomoa kwenye uraisi, kabaki yeye kila uchaguzi anaweka jina na kushindwa!
Hivi, anadhani kuwa atachaguliwa au amesha kiona kijiwe cha kupatia ugali wa kupeleka nyumbani?
:welcome:hongera CUF ila LIPUMBA ni raslimali katika nchi yetu ningefurahi angalikuwa waziri wa fedha kuliko mkullo ambaye ni mmalawi na yusuf mzee ambaye ni mngazija. ni hatari kwa nchi yetu viwanda tumewapa watu wa nje,ardhi tunawapa hata secta nyeti kama uchumi na fedha watu wanaosadikika kuwa sio raia ndio wanaohodhi hii inauma sana kwani wataalamu tunao lakini fitina na ushikaji unadumaza serikali zetu za kiafrika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.