DAR WING -wa WHITE PARTY

tuliomba iwe hivi ili kuwepo utofauti tu na ndo mana ni rangi moja ila si vbya ukaweka rangi ambazo wewe utapenda siku hiyo japo kaweupe kawepo.

paw unamtoa na na kimodo cha white na jeans mchezo umeisha lol!
mi nimenyuti tu mahali nakomaa na kupanga menu!si wanijua pande hizo nilivo makini kungwi wangu!
 
Preta my dearest! Afadhali kama utakuwepo! Usisahau kuja na Boflo maana tuakuwa "tume-revenge" ile party jumba la Mbezi Beach! Lol!

we mtoto wa kike nakumisije sasa!mwe
jamani gfsonwin mpenzi si upitishe bakuli nipate umeme mie!ah!
 
Last edited by a moderator:
Najua ni SHE!!!!!!! Sasa hujui raha ya party ni Dishing n bitching abt other people???? Full maumbea na upashukuna! Umekiona kiatu cha tichaaa!!!!!!? Lile wigi la Ciello umeliona lakini? Hicho kiatu cha Madam B!!!!!! Yule mcute ni blaine au sio? Upo hapo?

Nimekupata lara 1, its now a sealed deal! Can't wait for the party.:cheer2:
 
Aliekwambia kutakuwa na KUJITAMBULISHA NANI??????????? Watu tunakutana tuna party na ID zinabaki siri vile vile!!!!!!! Hakuna utambulisho wa wewe nani au umetokea wapi!

Utayemuona kafanana na ID flani we mvagae tu!!!!!

It surely will be fun,
hata ivo baadhi yetu wako addicted na ku-fake IDs..
yani hata kungekuwa na kujitambulisha..ha ha
 
Tatizo hicho kiwalo white, tutakuja na linen zinaonyesha sio mistari tu bali na rangu ya teitei. Pasco et al watakwazikajeee!
But seriously, parties with formal dress code zinakuwa kama kitchen party. Paw ntamvalishaje sasa?
Tunajifanyaga kuwa tunakwazika, ila kiukweli huwa hatukwaziki bali huwa tunafedheheka tuu na wengine kula kwa macho tuu hawashibi watataka..
P.
 
Najua ni SHE!!!!!!! Sasa hujui raha ya party ni Dishing n bitching abt other people???? Full maumbea na upashukuna! Umekiona kiatu cha tichaaa!!!!!!? Lile wigi la Ciello umeliona lakini? Hicho kiatu cha Madam B!!!!!! Yule mcute ni blaine au sio? Upo hapo?

Kwi kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiii lara 1, siku hiyo ni mabo ya Full White kama Wauza Nyama au Madaktari,
White-Bridemaid-11.jpg

white-men-s-suits-with-pants-for-2012-new-style-fashion-design-font-b-perfect-b.jpg

Chezea Mipango si Matumizi wewe............!!!!!!!!!!
TALALA HOIIIIIIIIIIIIIIIIIIII, WAllah tena.

SASA NJOONI MMETUVALIA GREEN AU YELLOW KAMA MABAUNSA lara 1, Madame B na gfsonwin tutawapitisha Getini.
 
Last edited by a moderator:
we mtoto wa kike nakumisije sasa!mwe
jamani gfsonwin mpenzi si upitishe bakuli nipate umeme mie!ah!
ngoja tuje kwenye party pale nitatangaza nia. btw jitupe ACB mkopo wa umeme lol!
mwenzio sionei aibu kukopea salary kwa maendeleo ya familia yangu mtu muhekalu wote huo, halafu tena mwl bado unaona shida kukopea salary?? acha hioz tichaaaaaaaaaaaaa na jan hii komaa best.
 
Kwi kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiii lara 1, siku hiyo ni mabo ya Full White kama Wauza Nyama au Madaktari,
White-Bridemaid-11.jpg

white-men-s-suits-with-pants-for-2012-new-style-fashion-design-font-b-perfect-b.jpg

Chezea Mipango si Matumizi wewe............!!!!!!!!!!
TALALA HOIIIIIIIIIIIIIIIIIIII, WAllah tena.

SASA NJOONI MMETUVALIA GREEN AU YELLOW KAMA MABAUNSA lara 1, Madame B na gfsonwin tutawapitisha Getini.
King'asti umeona mambo haya??
 
Ila white jamni hainogagi kwa sie ma Black Beauty!!!!!!!! LOL! Jamni hii code ifikiriwe upyaaaa!!!!!!!!! Mi ntavaa green kwa kweli!!!!!! Sasa bila kijifanya UNIQUE mtanijuaje!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom