ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,010
kuna mengine hayajiheshimu,ni title za kututisha tu,wengine wanakula hadi tigo za wadada wenye wezere huko maofisini mwaoKutukana viongozi wa DINI sio sawa kabisa..
kuna mengine hayajiheshimu,ni title za kututisha tu,wengine wanakula hadi tigo za wadada wenye wezere huko maofisini mwaoKutukana viongozi wa DINI sio sawa kabisa..
Na amejiweka hewani ili avuliwe nguo maana Mange hana pazia akiamua kumvua mtu nguo. Halafu huyu sheikh matendo yake yana ukakasi sana kama vile sio kiongozi mkubwa wa kirohoSikuwahi kufikiri katika waislam kuna watu wapuuzi kama huyu shekhe.
Uislam anahimiza kusamehe na kusahau. Uislm ni dini ya amani.
Kauli alizotoa leo zinathibitisha huyu bwana ni mchumia tumbo!
Huyu sheikh hiyo michezo ya qaumu lut mbona ndo zakee!!tunajua sana Mimi niliambiwa na watu wake wa karibu haswaa!!Sio kila anachotype mange ni cha ukwali...juzi alitype shiwaladu wapigwa mitama double double aikuwa kweli walishambuliwa na gari sio kupigwa km alivyoreport...issue ya kutukana viongozi wa imani sio sahihi kabisa
Huyu sio sheikh huyu ni puppet tuuu!trying to fool MuslimsNa amejiweka hewani ili avuliwe nguo maana Mange hana pazia akiamua kumvua mtu nguo. Halafu huyu sheikh matendo yake yana ukakasi sana kama vile sio kiongozi mkubwa wa kiroho
Hii albadri au dua wangesomewa wale wezi wa viwanja na mali za miskiti dar es salaam .itapendeza zaidisifikirii na sidhani kama mange atadhurika
jambo la aibu sana kiongozi wa dini kumtamkia mfuasi ukomo kisa mna personal interest alitakiwa amsahihishe tu na kumsaidia kimawazo lakini suala la ukomo wa mtu hilo ni jambo la Mungu tena
Hilo la kujipa nafasi ya kuhukumu, anyway... kwangu naona ni very complicated kuliko tunavyochukulia!!Ok.
Nimekuelewa..
Lkn Shehk mbona kajipa Kazi ya Mungu ya kuhukumu...???
Maana nakumbuka mwaka 1992 pale Mwembeyanga maduka ya nguruwe yalipochomwa moto,wakati serikali iliingiza FFU na Mbwa msikitini wkt wa Adhuhuri na kuwatandika waumini wa Kiislam kisawasawa kesho yake asbh viongozi wa Kiislam waliwakusanya waumini kwaajili ya kumsomea ALBADIRI wkt huo Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Agaustine Lyatonga Mrema.
Mrema leo tunae na ni Mwenyekiti wa chama flani cha siasa.
Sijaona haja ya kiongozi wa heahima kama yule kumjibu Mange zaidi ya kumpuuza.
Huo ndio ulikuwa ushauri wangu hata mimi Mkuu.Wewe sheikh fanya mambo yako achana na huyo dada atakuvua nguo
Hajamtukana ni mwenyewe shekhe kanunua kesi zawalio tukanwa kupata kikiNafikiri Mange ajitahidi kuendesha harakati zake bila kutusi wakubwa, lazima ajiulize mwisho wa haya ni nini?
Mange kashachafua hali ya hewa huko insta. Ni balaa tupu!Na amejiweka hewani ili avuliwe nguo maana Mange hana pazia akiamua kumvua mtu nguo. Halafu huyu sheikh matendo yake yana ukakasi sana kama vile sio kiongozi mkubwa wa kiroho