Dar ni mkoa pekee wenye RC Darasa la Saba

Wote mnaofuatilia habari za huyu kiumbe hamna kazi za kufanya.Pia nahisi mnasumbuliwa Na mambo mawili.
1.Kuna wanaomuonea wivu jamaa kwa Ku win haraka kimaisha,kwa kutumia opportunities ambayo mwenye nchi amempa.

2.Wengine ni wale waliothirika kwa namna moja au nyingine,baada ya Dogo kutia mchanga biashara ya Ngada.

Fanyeni kazi watanzania.Tafuta pesa kwa vyovyote ujuavyo,
Hata wewe unafuatilia ndiyo maana umewezakuandika haya, hivyo nawe pia,kwa minajili yako mwenyewe, huna kazi ya kufanya.

Halafu si kila mtu anafanya kazi dunia hii wewe, wengine trust fund babies.
 
Uzi huu hauna umuhimu wowote zaidi ya kuweka kumbukumbu katika hatua ambazo nchi yetu inapitia kama unavyojua JF ni archive ya mabaya na mazuri ya mama Tanzania.

Kwa mfumo wa elimu ya Tanzania unapohitimu kidato cha nne na kupata daraja sifuri hutatunukiwa cheti chochote. Kwa maana kwamba hutatambulika kama "uliyemaliza" form four......means tukiwaita waliohitimu form four wewe ukiitika utakuwa unajidanganya tu,maana huko mbele uyashindwa kutoa cheti

Hivyo kwa kuwa hujahitimu kidato cha nne ila umehitimu na kutunukiwa cheti cha darasa la saba hivyo mtu huyo hatatambulika kama muhitimu wa form four bali muhitimu wa darasa la saba.

Kwa logic huyo basi Paul Makonda ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dar ni muhitimu wa darasa la saba.

Nimefanya utafiti wa mikoa yote bara na visiwani wakuu wa mikoa yote ni mkoa wa Dar pekee kwenye mkuu wa mikoa darasa la saba

Na pia ni mkuu wa mikoa pekee ambaye haieleweki anaitwa Paul Makonda au Daud Bashite!!

Kumbukumbu hizi ni muhimu sana. Kama Magufuli amelazimisha tuongozwe na mtu wa namna hii atashindwa vipi kulazimisha kumuachia ikulu?

Jioni Njema wakuu
Barbarosa alitoa uzi kuwa anashangaa suala la Bashite limezima,kumbe bado kuna watu mnafukunyua!Watch it,kama unafikiri unaweza endelea kumtaja Bashite,not to that extent!
 
Pale ubungo Mmbunge anaelimu ya hapanapale.Mwenyekiti wa chamachetu ana ziro kidato cha sita ila anatuongoza kwakuwa ni DJ mstaafu.
 
Ndio maana mi sifikirii kuja dar hadi awamu hii ipite au hadi bashite asimamishwe mahkaman
 
na chama kinachoongozwa na division zero ni kipi?
Akina sendeka zero akina January makamba form six zero huko CCM wenye zero wapo kibao hata mwenye PhD mwenyewe kaipata kijanja janja ni PhD ya kizushi leo hii akipewa mtihani afanye atapata zero kwani hata kingereza hajui.
 
Kusoma sana, sio kua na akili wala kuto soma sana sio kutokua na akili.


Kuna watu wameishia la saba kwa sababu fulani fulani za kimaisha na wengine chini ya lasaba. Lakini uwezo wa uongozi wanao.

Lakini kuna walio soma sana, ila hawana uwezo wa uongozi.


Point yangu ni kwamba, wenye elimu ya chini wasidhalauliwe maana hata nao Mungu amewapa uwezo wao wakipekee sana.

Elewa kwanba, kiongozi huzaliwa.


Elimu ya gavana, awe nayo asiwe nayo sio shida, shida ni maadili basi.
Sasa Huyu gavana elimu hana na maadili hana, kufoji vyeti ni kosa la jinai na kinyume cha maadili kuvamia studio usiku ni kosa la jinai na kinyume cha maadili.
Kimsingi bashite hastahili kuendelea Kuwa kiongozi
 
Back
Top Bottom