Dar-Mwanza

B H

Senior Member
Mar 28, 2011
104
9
What is the most luxurious bus from Dar to Mwanza.
I wanna travel from dar to mwanza tomorrow.
Please advice.
 
ALLY'S Ndo mwisho. DVD safi, Inatembea sana. Second option Princes MURO. Hao wengine Mjaina tu!!!!! Alll's Mwanza saa 1 ama ama saa moja na nUSU nusu Umeisha Tinga Mza. N ahotel Malaika!!!
 
Mmmh! MURO labda kama wameleta mabasi mapya, ila sikushauri. Kama hutajali panda Majini ya Musa (Supernajimunisa)

ALLY'S Ndo mwisho. DVD safi, Inatembea sana. Second option Princes MURO. Hao wengine Mjaina tu!!!!! Alll's Mwanza saa 1 ama ama saa moja na nUSU nusu Umeisha Tinga Mza. N ahotel Malaika!!!
 
Weee..! Ucjarbu kupanda mhmd trans, coz 2naelekea mwisho wa mwaka na wao wamekaribia kutoa kafara mojawapo ya mabasi yao, na wa2 watakufa sana 'DONT TRY' kama bado unaupenda ugali. Nadhan umenielewa.. Over.......!!?
 
ALLY'S Ndo mwisho. DVD safi, Inatembea sana. Second option Princes MURO. Hao wengine Mjaina tu!!!!! Alll's Mwanza saa 1 ama ama saa moja na nUSU nusu Umeisha Tinga Mza. N ahotel Malaika!!!

Mkuu suala la ubora wa bus lipoje ukiachana na kuwa allys kwa kukimbia wanajulikana
 
ALLY'S Ndo mwisho. DVD safi, Inatembea sana. Second option Princes MURO. Hao wengine Mjaina tu!!!!! Alll's Mwanza saa 1 ama ama saa moja na nUSU nusu Umeisha Tinga Mza. N ahotel Malaika!!!

Allys linatembea sana ila siti sio za kuadjust.
 
Panda Zuberi au Super Najmunisa,apart from kutembea lkn price afordable kwa sisi WALALA HOI wa Tanzania.Luxury ya nini wakati umezaliwa ktk Zahanati zilikua na upungufu madawa,umekulia maisha yaleyale ya ya Watz wengi.
 
m ndo huwa nasafir mara kwa mara na hayo mabasi ukitaka ufike mwanza by saa 2 au 1.30 panda ALLYS ukitaka starehe na uzuri wa gari ndani kuna MURO MPYA YOUTONG HIZO gari ni bomba cna lakini utafika by saa 4 au saa 3 hayo mabasi mengine siku utakuta gari gani mana kuna mengine ni mabovu balaa kama green star,luck star, na sumri ila ucje ukapanda mohamed au najumunisa au saibaba kama unataka kulala shinyanga au kutekwa sawa....ila nakushauri mwana chukua allys hana mpinzani kwenye hii njia na hasimami vituo vingi kama mengine yeye huwa akitoka dar mwanza au mwanza dar keshajaza
 
Back
Top Bottom