Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,194
- 4,116
Kutokana na uwepo wa changamoto kubwa ya miundombinu katika soko la Mabibo jijini Dar es salaam tayari halmashauri ya Ubungo imeanza kufanya maboresho ikiwemo kujenga maeneo ya kufanyia biashara na maboresho ya barabara za kuingilia sokoni hapo
Ambapo kiasi cha pesa Milioni 600 kimetengwa kwaajili ya ukarabati wa soko hilo ambalo kwasasa lina changamoto ya kujaa tope lililosababishwa na mvua hali inayowalazimu wafanyabiashara na wanunuzi kukodi mabuti ya kuingilia sokoni
Pia soma: DOKEZO - Serikali ina mpango gani na Afya za Wananchi wanaotumia Soko la Mabibo? Watu wanalishwa uchafu pale