Daniel Chongolo: Tume huru ya Uchaguzi haileti chakula

Katibu mkuu wa CCM hataki Tume Huru ya Uchaguzi kwa sababu haileti chakula! Hivyo anataka kuendelea na tume iliyopo ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa sababu anadai Tume Huru ya Uchaguzi ni ya wanasiasa kuwekwa madarakani.

Kwa akili hizi za viongozi wa CCM bado tuna safari ndefu kupata viongozi watakaochaguliwa na wananchi.

View attachment 1889286
Huo sio usemi wa kiongozi makini hata kidogo. Kwa usemi huo hata Katiba ya sasa haina maana kwani haijengi zahanati.
 
Hivi huyu Bwana ana akili sawa ama? Kwani Tume ya Warioba ilifanya kazi gani?

Hawa CCM kama hawataki kumaliza mchakato basi walipe ghalama zote xilizotumika kwenye mchakato wa Katiba mpya.
 
Kilichonichosa zaidi ni waandishi wa habari hapa Nchini.
Mtu anajibu swali linazaa maswali yakujifunga halafu hawamuulizi.Halafu aliyewaita anajiona mjanja.

Teuzi zimeathiri na kuwatia woga waandishi wa habari
Wenzako wanawaza bahasha uulize swali.. bahasha ikupite
 
Huo sio usemi wa kiongozi makini hata kidogo. Kwa usemi huo hata Katiba ya sasa haina maana kwani haijengi zahanati.
Alipoteuliwa nilidhani bonge la kiongozi.Kumbe pumba kabisa
Balozi anaweza kujibu vizuri kuliko hata yeye.
 
Katibu mkuu wa CCM hataki Tume Huru ya Uchaguzi kwa sababu haileti chakula! Hivyo anataka kuendelea na tume iliyopo ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa sababu anadai Tume Huru ya Uchaguzi ni ya wanasiasa kuwekwa madarakani.

Kwa akili hizi za viongozi wa CCM bado tuna safari ndefu kupata viongozi watakaochaguliwa na wananchi.

View attachment 1889286

Tume huru ni kitu kirahisi sana kana kuna nia ni kuchagua tume wakilishi na kuipa madara kamili hii inaweza kufanyika hata bila kubadilisha katiba
 
Katibu mkuu wa CCM hataki Tume Huru ya Uchaguzi kwa sababu haileti chakula! Hivyo anataka kuendelea na tume iliyopo ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa sababu anadai Tume Huru ya Uchaguzi ni ya wanasiasa kuwekwa madarakani.

Kwa akili hizi za viongozi wa CCM bado tuna safari ndefu kupata viongozi watakaochaguliwa na wananchi.

View attachment 1889286
Kumbe this guy ana mambo ya kisenge-rema kama wakina Polepole tu. Kweli ccm imelaaniwa
 
Katibu mkuu wa CCM hataki Tume Huru ya Uchaguzi kwa sababu haileti chakula! Hivyo anataka kuendelea na tume iliyopo ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa sababu anadai Tume Huru ya Uchaguzi ni ya wanasiasa kuwekwa madarakani.

Kwa akili hizi za viongozi wa CCM bado tuna safari ndefu kupata viongozi watakaochaguliwa na wananchi.

View attachment 1889286
Hii isyo huru inagawa kilo ngapi kwa kila kaya? Kama hawa ndiyo viongozi wa Chama Taifa! Pole Tanzania.
 
Katibu mkuu wa CCM hataki Tume Huru ya Uchaguzi kwa sababu haileti chakula! Hivyo anataka kuendelea na tume iliyopo ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa sababu anadai Tume Huru ya Uchaguzi ni ya wanasiasa kuwekwa madarakani.

Kwa akili hizi za viongozi wa CCM bado tuna safari ndefu kupata viongozi watakaochaguliwa na wananchi.

View attachment 1889286
Hata wakubwa zake hawaitaki Tume Huru ya Uchaguzi. Ila hawatamki wazi wazi.

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Katibu mkuu wa CCM hataki Tume Huru ya Uchaguzi kwa sababu haileti chakula! Hivyo anataka kuendelea na tume iliyopo ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa sababu anadai Tume Huru ya Uchaguzi ni ya wanasiasa kuwekwa madarakani.

Kwa akili hizi za viongozi wa CCM bado tuna safari ndefu kupata viongozi watakaochaguliwa na wananchi.

View attachment 1889286
Kwani tume iliyopo inaleta biriyani?
 
Back
Top Bottom