Habari za leo wana JF.
Mimi ni mzazi mpya nimejifungua kwa operation mtoto wangu wa kwanza tarehe 14/5/2014 ni jinsia ya kike. Msaada ninaoomba hapa ni kupatiwa ufumbuzi wa swala hili mwanangu anatoka damu kidogo kidogo katika sehemu zake za siri.
Ila dokta wa watoto na manesi wakasema hyo ni hali ya kawaida kwa mtoto wa kike.
JE DOKTA NI KWELI HABARI HII?