Dakta Hosea ni kweli haya?

Sabato masalia

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
228
134
MKURUGENZI wa taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa nchini Dakta Hosea analalamikiwa vikali ofisini kwake kwa kitendo cha hivi majuzi kuchukua takriban milioni 48 za ofisi kwa ajili ya safari yake binafsi kwenda marekani katika mahafali ya mwanae analalamikiwa pia kwa tabia yake anaposafiri hamuachi yeyote kukaimu akihofia madudu yake mengi kugundulika.
 
Eeeeh! Kama hayo ni ya kweli hawathubutu kumkamata hata fisadi dagaa licha ya mafisadi papa na nyangumi. Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hosea ni tatizo takukuru, maafisa wake mawilayani na mikoani tatizo. Tunashindwa kuwatofautisha na mipolisi kwa uozo. Takukuru wanaongoza kwa rushwa, wanatisha watu kwamba watawaita na kuwahoji!. TAKUKURU ijisafishe kuanzia na hosea. Pia kwa kashfa hiyo Hosea apishe uchunguzi.
 
Hiyo ndo bongo kaka, unashangaa Tzs. 48m mbona huzungumzii zile za kunusuru nchi tokana na mtikisiko wa uchumi ? Mbona hushangai kuwapa wawekezaji dhahabu yote nyie mnabaki na asilimia tatu za mrahaba na sasa wamefunga mgodi wa Tulawaka na Nzega Resolute na tuliambiwa kuwa maisha ya watu yatabadilika na kwamba maeneo husika yatakuwa ulaya ya Tanzania?
 
Hii habari ni uzushi mtupu, Dr. Hosea hajasafiri hivi karibuni kwenda USA, isitoshe jamaa ni muadilifu sana, miliono 45 kwa MKURUGENZI WA PCCB ni hela ndogo sana, Watanzania tujiepushe na hizi propaganda zisizokuwa na maana yoyote
 
Hivi mil 45 kwa dr.hosea mbona kihela kiduchu sana kwa nafasi yake,mnaujua mhshahara wake ,posho zake .... Tuache majungu jamani watanzania na tusitumie jf kama kichaka cha kupakazia watu uongo na uzushi ... Kukaimisha mtu ni matakwa ya kiongozi mwenyewe anavyoona hailazimishwa . Mana hata taarifa yenyewe imekaa kiuzushi tu hakuna facts za kweli ambazo zimewekwa...
 
Mkuu Kibe, huyu mleta thread anaonekana ana chuki binafsi na Dr. Hosea, hakuna mgogoro wowote TAKUKURU kuhusu Mkurugenzi, hata hiyo safari haikuwepo, JF sasa ni kama gazeti la udaku, uzushi mwingi!!!?
 
Hii habari ni uzushi mtupu, Dr. Hosea hajasafiri hivi karibuni kwenda USA, isitoshe jamaa ni muadilifu sana, miliono 45 kwa MKURUGENZI WA PCCB ni hela ndogo sana, Watanzania tujiepushe na hizi propaganda zisizokuwa na maana yoyote

Unamtetea hosea unamjua vizri? Au na ww una kurupuka? Unajua mali anazo miliki hosea marekani? Unamjua vizur hosea? Unajua vitu anavyo vifanya kwa wala rushwa wakubwa ambao ameshindwa kuwapeleka mahakamani? Kwa taarifa yako takukuru iko kwa wanyonge tu lakini siyo kwa mafisadi wakubwa wa nchi hi
 
Wewe hatuandiki kwa kubabaisha ni kweli alikwenda marekani ni hivi sasa yuko Astralia yeye pamoja na mzee Mkuchika, Hosea ameifanya TAKUKURU ni kama SACCOS yake.
 
Wewe Sabato Masalia unaonekana una chuki binafsi na Dokta Hosea, inawezekana una manung'uniko yako binafsi ya kutokaimishwa ofisi....hovyo kabisa. Mbona haya ni mambo madogo sana hadi umeamua kutujuza huo umbea wako humu...hebu tuletee mada yenye tija tujadili kwa maslahi ya watanzania wote na sio ubinafsi wako.
 
Back
Top Bottom