Mainus JF-Expert Member Mar 7, 2016 295 238 Mar 31, 2016 #1 Hivi ni kweli kuwa kila binadam huwa na dakika tano za ukichaa kila siku katika maisha yake? Naombeni mchango wenu katika hili
Hivi ni kweli kuwa kila binadam huwa na dakika tano za ukichaa kila siku katika maisha yake? Naombeni mchango wenu katika hili
V vampire_hunter007 JF-Expert Member Jul 25, 2015 1,034 2,571 Mar 31, 2016 #2 Sio kweli....Mi nna masaa manne
Mainus JF-Expert Member Mar 7, 2016 295 238 Mar 31, 2016 Thread starter #3 vampire_hunter007 said: Sio kweli....Mi nna masaa manne Click to expand... Unayatumiaga kufanya nini mkuu
vampire_hunter007 said: Sio kweli....Mi nna masaa manne Click to expand... Unayatumiaga kufanya nini mkuu
V vampire_hunter007 JF-Expert Member Jul 25, 2015 1,034 2,571 Mar 31, 2016 #4 Mainus said: Unayatumiaga kufanya nini mkuu Click to expand... Kuwashika matako wanawake....Af sipigwi wala nini
Mainus said: Unayatumiaga kufanya nini mkuu Click to expand... Kuwashika matako wanawake....Af sipigwi wala nini
Dream Queen JF-Expert Member Nov 4, 2015 8,245 17,974 Mar 31, 2016 #5 vampire_hunter007 said: Kuwashika matako wanawake....Af sipigwi wala nini Click to expand... Khaaaaah!
vampire_hunter007 said: Kuwashika matako wanawake....Af sipigwi wala nini Click to expand... Khaaaaah!
naiman64 JF-Expert Member Nov 22, 2013 6,854 5,276 Mar 31, 2016 #6 vampire_hunter007 said: Kuwashika matako wanawake....Af sipigwi wala nini Click to expand... Heeeeeee !!!
vampire_hunter007 said: Kuwashika matako wanawake....Af sipigwi wala nini Click to expand... Heeeeeee !!!
TADPOLE JF-Expert Member Nov 18, 2015 2,801 9,043 Mar 31, 2016 #7 mnashangaa nini vampire_hunter007 ndo alivyo ndugu zake tunapataga nae tabu sana
Mainus JF-Expert Member Mar 7, 2016 295 238 Mar 31, 2016 Thread starter #8 vampire_hunter007 said: Kuwashika matako wanawake....Af sipigwi wala nini Click to expand... Wewe unapigwa ila huwa hujitambui kwasababu unakuwa hujifaham
vampire_hunter007 said: Kuwashika matako wanawake....Af sipigwi wala nini Click to expand... Wewe unapigwa ila huwa hujitambui kwasababu unakuwa hujifaham
Mainus JF-Expert Member Mar 7, 2016 295 238 Mar 31, 2016 Thread starter #9 TADPOLE said: mnashangaa nini vampire_hunter007 ndo alivyo ndugu zake tunapataga nae tabu sana Click to expand... Poleni sana ila hayo yote ni kwasababu ya hizo dakika zake za ukichaa
TADPOLE said: mnashangaa nini vampire_hunter007 ndo alivyo ndugu zake tunapataga nae tabu sana Click to expand... Poleni sana ila hayo yote ni kwasababu ya hizo dakika zake za ukichaa