Nimemsikiliza mheshimiwa katika kipindi kilichorushwa jana na ITV ukweli kwangu ilikuwa nafasi nzuri sana ya kumfahamu huyu mtu yukoje na kwa kifupi ameonekana kuyumba kisiasa
1. Ana maadui 11 lakini kuna siku atawataja-kakosa sifa ya uwazi
2. Vijana wa chadema innocent walikula ugali kwake kwa sababu walikuwa na njaa
3. Nguvu ya umma kuna siku itageuka
4. Watanzania ni watu wa ajabu kila kitu wanailalamikia serikali
5. Mamlaka iliyochaguliwa iheshimiwe
6. Vyama vya zamani vinaanza kurudi madarakani hasa huko ulaya-watanzania wasiamini katika upinzani