Dah !

chardams

JF-Expert Member
May 1, 2012
2,439
1,734
Nimewamis sana humu ndani, na nimeimiss JF Marry X mass & Happy New.

Wale mnaoenda Tanga niwatakie Safari njema

Wale mlio kazini kama mimi niwatakieni kazi njema za kulijenga taifa letu
 
asante sana na nikupe pole kwa kuwa na mwajiri asiyejua festival season.....holiday ni muhimu kila mwaka.....
 
Aliingizwa kingi na mwajiri huyo Preta! CHARDam ulipewa na akakubali likizo November afu leo unalalama?
 
Last edited by a moderator:
asante sana na nikupe pole kwa kuwa na mwajiri asiyejua festival season.....holiday ni muhimu kila mwaka.....

Ila krismass ilinikuta Arusha hivo nilifaidi kiasi chake. Arusha siku 2
 
Back
Top Bottom