Dah!maumivu ninayoyapata kukukosa charminglady bora nirudi jera(BAN)

wakati ndio sasa najua unampenda lakini ndo hivyo tena kaka, mwenye nguvu mpishe, kama waswahili wanvyosema mwenye kisu kikali ndo atakae enjoy nyama, step aside kaka kama domo zege nikusaidie kuna kadada kazuri hapa ofisini kwangu ni kageni nadhani katakufaa

no!no!...ukikutana na cl mwambie nakonda kwa ajili yake
 
Last edited by a moderator:
unakoelekea Wakati ndio sasa ni kubaya, utanyanyasika sana, be a gentleman, forget the road behind and focus on the path ahead!

nashukuru sana,ila ukikutana naye we mfikishie ujumbe kwamba nampenda kwa moyo wote
 
Last edited by a moderator:
kwa maneno aliyo andika hapo inaonesha anaanza kuzoea taratibu. natumaini atazoea
 
Ugonjwa ulio nao dawa yake ni wosia wa judgement.

wosia wa Judgement mgumu kumeza japo ni mtamu,unawakati wake lakini sio sasa,katika plan yangu hakuna hiyo stage,lakin wewe si ndio mwanasheria wake?..ukikutana naye we mnongoneze kuwa nampenda
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama unataka kupona ugonjwa wako.umeifanya kazi yangu kuwa rahisi tafadhali kaa mbali na mteja wangu.
 
Back
Top Bottom