Dah!! English ngumu

Moseley

Senior Member
Jul 10, 2010
187
94
How did the accident happen?
How did you know that the vehicle had no brakes??

Hahahahaaaa, jamaa anafurahisha kweli kweli

 
Last edited by a moderator:
wadau nisaidieni haya mauhondo yananipita kila siku, natumia mobile mode, hizi youtbe videos kila nikidownload natoka patupu. Handset yngu ni E71.
 
Inanikumbusha enzi ya Idi Amin maana kiingereza chake ilikuwa ni balaa tupu.
 
Waswahili wanasema Nguo ya Kuazima haisitiri ******. Huyu jamaa angetoa maelezo kwa kikwao stori ingekuwa tamu sana
 
wadau nisaidieni haya mauhondo yananipita kila siku, natumia mobile mode, hizi youtbe videos kila nikidownload natoka patupu. Handset yngu ni E71.

nenda kwa real player alafu weka define acces point, weka defaut. namaanisha ambayo iko defalt ktk web browser yako. baada ya hapo kama utafungua link ya youtube real player itafungua moja kwa moja hiyo video. cha msingi hakikisha umeunga na wireless network au upo kwa 3G Coverage.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom