pascaldaudi
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 534
- 96
Great thinker, inasikitisha sana pale viongozi wa umma wanapokosa uwajibikaji. Hii inshu ya cyprus imetokea ktk mazingira kama ya Gongolamboto and the like, lakini viongozi wamewajibika bila hata kuchukua muda wa kuanza kubishana na vyombo vya habari. Nadhani tatizo ni vioingozi kudhani wao wamezaliwa kuwa viongozi bali si kuwatumikia wananchi.
Source: State radio: Cyprus officials resign after naval base blast kills 12 - CNN.com
Source: State radio: Cyprus officials resign after naval base blast kills 12 - CNN.com