Cyber theft: Accounts za NBC zimekuwa hacked na kukombwa pesa zote zinaonyesha shs 0

Status
Not open for further replies.
Sikumbuk hata kadi ya NBC niliitupa wapi,maana sina pesa za kuweka bank,huyo mama Tibaijuker bil 1.6 hazikuzid 48 hrs kwenye akaunt ya shule yake
 
nani kasema ? source please! kilichotokea ni kwamba asubuh ya leo makao makuu palitokea shoti ya umeme hivyo ikawalazim wafanyakazi wote kutoka nje kwa muda mrefu pale makao makuu. kuna wa2 wakaandika threads kwamba kuna tatzoo
 
I think board ya NBC ni weak. Management yao ni mbovu sana.6

Tatizo la NBC lilianzia kwenye ubinafsishaji ambao ulikuwa wizi mchana kweupe. Bank Ilikuwa na fedha billion 150 "viongozi" wetu wakaiuza billion 15.
Wakanunua majumba South Africa. Ndio hao tulidhania wasafi hata Mwl Nyerere aliwaamini. Sasa tunavuna matunda ya kazi yao
 
Mie nemepata sms hii kutoka NBC: Ndugu mteja, NBC inapenda kukuhakikishia kuwa amana zako ziko salama. Endelea kutumia huduma zetu kama kawaida. Usitoe namba yako ya siri kwa yoyote.
 
Dah! Kama ni hivyo nitaendelea na tabia ya kuhifadhi mabulungutu yangu home.
 
Niliwahi kuleta uzi hapa wa kuwashauri hawa jamaa wa NBC wajipange vizuri na wa emerge smaller and efficient. Mods wakaudelete ule uzi wangu... Sasa haya tuliyoyaona zamani sisi wadau ndio yanaanza kutokea. Sometimes kulifunika jipu sio tiba. Hii iwe fundisho kwa mods pia...
 
Sikumbuk hata kadi ya NBC niliitupa wapi,maana sina pesa za kuweka bank,huyo mama Tibaijuker bil 1.6 hazikuzid 48 hrs kwenye akaunt ya shule yake

KWELI MIAFIKA NDIVYO TULIVYO IVI HAMKUSHTUKA KAMATI YA ZITO KABWE ILIPOSEMA NBC KWA LIABILITY YAKE AGAINST ASSETS. IT WAS ALMOST BANKRUPT MKADHANI NI MASIALA. MAKABURU WANACHUKUA CHAO IVO NYIE MMETOA MIMACHo TUU... SHAME ON YOU KWA KUTAPELIWA
 
Kuna Dada ambaye mwezi uliopita amekuta pesa zake 400,000/= zimekombwa kupitia wizi wa mtandaoni.. Account yake ipo NBC. Hadi leo hawajamuonesha ni nani aliyedraw pesa zake, ATM card yake anayo na hakuna aliyempa...
Ni mfanyakazi wa shirika la umma-hospitali, amekata tamaa kabisa, anafuatilia huku anapigwa Dana Dana. Kuna mwongozo wowote?
 
Mie nemepata sms hii kutoka NBC: Ndugu mteja, NBC inapenda kukuhakikishia kuwa amana zako ziko salama. Endelea kutumia huduma zetu kama kawaida. Usitoe namba yako ya siri kwa yoyote.

Aisee mimi walinitumia sms nilibadilishe no. ya siri ya mobile banking....wakati mwezi uliopita nili update taarifa zangu na nikawaambia nataka info ya email tu...sitaki kujiunga na huduma hiyo. Sasa kama wameibiwa ...aisee kesho lazima ni wavae ila gia ya kwanza ni kwenye ATM nikaangalie salio.
 
Hii issue ni kweli watu wamepigwa hela wengi kuna rafk angu nbc udsm kapigwa zote hadi salar ya mwezi huu wamempa siku 45 sasa cjui ataishije.....jiepushe sana na bank zinazotumia visa card ni sheeda
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom