Katika kile ambacho imeonekana wazi kua serikali imeshindwa kua makini,walimu wote nchi nzima wataingia katika mgomo wa kudumu,Sababu ya msingi ni baada ya serikali kuonekana inataka kuwachezea akili katika ,makubaliano ya cwt na serikali juu ya madai ya walimu kua yataliwa mwezi november na dec ila serikali imeshindwa kwani katika payrall ya mwezi huu malipo hayo hayakupelekwa na h hivyo dhamira ya kugoma imepewa kibari na serikali na katika hilo lawaama zote ni kwa waziri alitangaza kua watalipwa hivyo walimu hawatafungua shule mpaka hapo madai yao yatakapoafanyiwa kazi na kaitika hilo cwt imekataa kufanya upya na serikaliivyo