Cwt mbona kimya jamani tunaumia

Kisendi

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
699
178
Wana JF Sisi walimu tunapata shida sana mpaka leo mshahara hakuna. Kweli Serikali ya Tz ipo kweli mbona Wabunge mishahara yao na posho zao ni hapo hapo kweli tutafika. Kwa nini Walimu tusitoroke na Kufanya TUITION au kukaa ofisini bila kufundisha.

BADO SIKU CHACHE TU
 
Back
Top Bottom