CWT leo tar. 5/7/2012 Masikio ya walimu yako kwenu

KIMBURU

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
210
189
Leo ndio tarehe ambayo CWT walituambia kuwa itakuwa ni ya mwisho kwa majadiliano na serikali, tunatarajia kuanzia kesho CWT itoe mlisho nyuma (feedback) juu ya majadiliano yake na serikali. Matarajio ya walio wengi ni kupata tamko la kuanza mgomo na si vinginevyo.

Hiki na kipindi muhimu kwa bwana Mukoba cha kupima uwezo wake wa kikiendesha chama
 
Walimu wagome kabisaa?? hebu acha ndoto zako za mchana na chapa kazi kama wewe ni mwalimu! mimi nina uhakika 100% hata mshahara ukipunguzwa kwa 25% bado walimu mtapiga kazi mbona kelele zenu tulishazizoea tu! nyie pokeeni hicho mnachopata then wabunge wanavuta 10,000,000/- hebu fikiria mwanafunzi uliyekuwa unamfundisha tena mbumbumbu leo ni mbunge anakula M 10 wewe laki mbili na nusu!!
 
sidhani kama walimu watagoma kwani wana hali ngumu kimaisha na wakigoma wataishije?
 
Walimu hawawezi kugoma wengi Wana mivyeti ya kufoji wataumbuliwa

Uko sahihi, mimi nimefundisha walimi 99% ni failures.........wamefeli form four au six!!!!

Hata ukimuona mwenye digriiii, ujuwe alifeli......kama sio class basi hakujuwa anachosomaaaaa
 
@PJN at Mtwara Gas City
pasco jr acha dharau bhana! Wengine tumesoma ualimu simply because tupate mkopo ASILIMIA Kuanzia 80 sababu ya umaskini wetu na wengine walienda Diploma sababu hawawezi kujilipia private, wangapi wana div 3 a level ila sababu wazazi wao wana uwezo wako vyuo vikuuu? Wengi tumeenda ualimu sababu ya umaskini wetu na msitusimange! Wanaoangusha walimu katika harakati hizi ni CWT kwa MASLAHI Yao we angalia jinsi gani Leo wataleta sarakasi ndio maana wengine tulisema tusiingie kwanza kwenye mgomo bila kuifumua CWT na kutoa viongozi woote mkatuona magamba ila tatizo Kubwa ni CWT kuliko hata serikali..... Hivi tukiwa uliza zile 2% za kila mwalimu zinafanya nini watatujibu, washafungua mashauri mangapi katika mahakama ya kazi? Kodi za majengo ya mwalimu house kila Mkoa zinafanya nini? Kwa nini hadi Leo hatuna bank yetu wakati capital ya bilioni 3 ishafika, kwa nini hatuna BODI ya WAALIMU.... CWT. ni tatizo Kubwa na ndio Hilo linawafanya walimu tuonekane legelege kwa nini wanachochea chuki Kati ya walimu wa sekondari na msingi ili wao wabaki madarakani CWT ni big problem
 
kuna mwalimu anasomea stashahada ya ualimu pale korogwe tc mwaka wa kwanza amekuja kufundisha tusheni drs la 7 kipindi hiki cha likizo. da aibu tupu anafundisha hisabati kila siku ni hesabu za desimali anaanza kujulimsha upande wa kushoto badala ya kulia. watoto wameshtukia wakimpa hesabu za mafumbo au maumbo anakuwa mkali.
 
ndugu acha tabia ya kuchochea vurugu na migomo. sijui unafanya hivyo kwa manufaa ya nani?
 
wako serious soma hii messege iliyo ingia kwenye simu yangu

" JE UNATAMBUA KUWASIKU YA KUDAI HAKI YAKO IMEKARIBIA ? NIKUKUTA SHULENI NITAKUSHANGAASANA MAANA UTAKUWA SAWA NA MTU ALIYE IBA VYETI
"
 
kuna mwalimu anasomea stashahada ya ualimu pale korogwe tc mwaka wa kwanza amekuja kufundisha tusheni drs la 7 kipindi hiki cha likizo. da aibu tupu anafundisha hisabati kila siku ni hesabu za desimali anaanza kujulimsha upande wa kushoto badala ya kulia. watoto wameshtukia wakimpa hesabu za mafumbo au maumbo anakuwa mkali.

Hapo kazi ipo.
 
Walimu hawawezi kugoma maisha ya walimu ni magumu sana,hata wakigoma serikali itachukua hata maaskari wakafundishe tu yani hi nchi ni bora liende tu!
 
Walimu wagome kabisaa?? hebu acha ndoto zako za mchana na chapa kazi kama wewe ni mwalimu! mimi nina uhakika 100% hata mshahara ukipunguzwa kwa 25% bado walimu mtapiga kazi mbona kelele zenu tulishazizoea tu! nyie pokeeni hicho mnachopata then wabunge wanavuta 10,000,000/- hebu fikiria mwanafunzi uliyekuwa unamfundisha tena mbumbumbu leo ni mbunge anakula M 10 wewe laki mbili na nusu!!
Hapo kwenye blue inauma sana!
 
Achaneni na CWT. Jiungeni na chama kipya cha ukombozi wa walimu kiitwacho UMET. Kwa wanaotaka mawasiliano mpigie katibu wa chama hiki 0756204568. Karuhusu mwenyewe no. kuwekwa hewani.
 
Naomba kufungua ofisi huku Mtwara

@PJN at Mtwara Gas City
 
pasco jr acha dharau bhana! Wengine tumesoma ualimu simply because tupate mkopo ASILIMIA Kuanzia 80 sababu ya umaskini wetu na wengine walienda Diploma sababu hawawezi kujilipia private, wangapi wana div 3 a level ila sababu wazazi wao wana uwezo wako vyuo vikuuu? Wengi tumeenda ualimu sababu ya umaskini wetu na msitusimange! Wanaoangusha walimu katika harakati hizi ni CWT kwa MASLAHI Yao we angalia jinsi gani Leo wataleta sarakasi ndio maana wengine tulisema tusiingie kwanza kwenye mgomo bila kuifumua CWT na kutoa viongozi woote mkatuona magamba ila tatizo Kubwa ni CWT kuliko hata serikali..... Hivi tukiwa uliza zile 2% za kila mwalimu zinafanya nini watatujibu, washafungua mashauri mangapi katika mahakama ya kazi? Kodi za majengo ya mwalimu house kila Mkoa zinafanya nini? Kwa nini hadi Leo hatuna bank yetu wakati capital ya bilioni 3 ishafika, kwa nini hatuna BODI ya WAALIMU.... CWT. ni tatizo Kubwa na ndio Hilo linawafanya walimu tuonekane legelege kwa nini wanachochea chuki Kati ya walimu wa sekondari na msingi ili wao wabaki madarakani CWT ni big problem
Upo sahihi sana lakini kwa wakati huu ila miaka ya nyuma kidogo kada ya ualimu ilikuwa inabeba watu waliofanya vibaya katika mitihani kumbuka kitu kinaitwa "UPE" hivo hao waliofeli na bado wakapewa ualimu wanaona kama ni fadhila (na kweli ni fadhila maana hawakupasi) na sio haki yao!!Na hao ndio walimu wengi wenye uzoefu wamejengeka katika msingi huo wa woga kutokana na background yao ya elimu. Ila kwa wakati huu kuna walimu wengi vijana waliopass vizuri wenye mawazo chanya na wanazijua haki zao na kujali na kuheshimu taaluma yao ya ualimu hao sasa ndio wanatakiwa waanze mabadiliko ya CWT unapokuja uchaguzi wagombee wengi! Walimu hawa waliopewa ualimu kama fadhila ndio hao hao wanatumika kuchakachua wakati wa chaguzi ndio maana serikali inakimbilia sana kuwachukia walimu kusimamia chaguzi! kwa nn isichukue na wafanyakazi wa kada zingine mfano wakufunzi wa vyuo na kada zingine??
 
Mimi ninachofahamu ni kuwa, walimu wapo kwenye mgomo siku nyiiingi. Ninahakika serikali inalifahamu hili, tatizo ni sisi wananchi ambao tunajua mgomo ni mpaka pale mtu asiende kazini. Je, umejaribu kufuatilia matokeo ya miaka miwili hii na trend yake??
 
Back
Top Bottom