Mzalendo Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 735
- 191
Ndiyo utajua kuwa CV haina maana kwa Waafrika na Watanzania. Nundu ana CV kali sana lakini sasa haya madudu yake yamevuka mipaka. YANANUKAHuyu ni Mbunge wa Tanag mjini, nadhani hii CV yake niyazamani kidogo, imeacha kutaja experience alipo kuwa Canada kikazi, tumpe pongezi Raisi kuona hizi talent.
Mheshimiwa waziri cv tumeiona na tumekubali, tunasubiri uchapakaji kazi wako ndio tuku jaji, kazi njema Mkuu