Huyu ni mhitimu wa ngumbalu (elimu ya watu wazima ya kusoma na kuandika): - azaliwe 1956, aanze shule ya msingi 1970??!!! Anastahiki kuitwa profesa
Mkuu Nyani siyo 7m/- bali ni 10m/- na shule sifuri kabisaaa! Daktari akiomba alipwe 3.5m/- Nongwa.Yaani jamaa anavuta 7 mill. kila mwezi?
Hivi zamani kulikuwa na MEMKWA???Huyu ni mhitimu wa ngumbalu (elimu ya watu wazima ya kusoma na kuandika): - azaliwe 1956, aanze shule ya msingi 1970??!!! Anastahiki kuitwa profesa
kichaka kingine!
Yaani jamaa anavuta 7 mill. kila mwezi?
Lazima wasomi tujikwamue!aiseee duuhhh ni kweli nimeamini msomi ni mtumwa kwa mwanasiasa