King2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 1,277
- 181
Yaani jamaa anavuta 7 mill. kila mwezi?
mtake Radhi bana, siku hizi wanavuta Million 15 per month.
Yaani jamaa anavuta 7 mill. kila mwezi?
Don't be surprise, everything is possible in Tanzania!
Dah the guy is lucky!!!! Hivi bado anaendelea na uganga wa kienyeji?
Mh basi kaz ipo!auache tena!si ndo profesheno yake
Aaah mbona hiyo ya juu kabisa!!!Namimi natangaza rasmi kugombea 2015.Kumbe elimu yangu ya form 4 inaniruhusu.
Kuanzia sasa mbunge awe na Degree moja na kuendelea huu ni upuuzi ndio maana bungeni hukuna mijadala ya haja bali ni vioja tu na maneno ya kanga.
Asante kwakunitia moyo maana nilikuwa najistukiziaAaah mbona hiyo ya juu kabisa!!!
Kuanzia sasa mbunge awe na Degree moja na kuendelea huu ni upuuzi ndio maana bungeni hukuna mijadala ya haja bali ni vioja tu na maneno ya kanga.
Namimi natangaza rasmi kugombea 2015.Kumbe elimu yangu ya form 4 inaniruhusu.
mkuu mbona utawapunguza magamba wengi sana!