CV ya Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Prof. Godius Kahyarara inatisha

Mimi ninatia shaka hapo kwenye kipindi cha elimu yake ya MPhil na PhD. PhD programme 2000-2005, halafu MPhil 2000-2002. PhD coursework inakuwaje MPhil?

Ili kuelewa shaka yangu, basi sote tusome hii link ya PhD programme katika University of Oxford DPhil in Economics | University of Oxford
 
View attachment 354048 View attachment 354050 View attachment 354051 View attachment 354052 View attachment 354053
Wadau, amani iwe kwenu. Kama kuna jambo zuri ambalo Rais Magufuli analifanya basi ni kuheshimu taaluma katika kila eneo. Sehemu ambazo zinahitaji wasomi wa taaluma fulani anamuweka mtu sahihi kutokana na sifa na uzoefu alionao mtu huyo.

Miongoni mwa watu ambao kwa hakika Rais Magufuli amewaweka katika mahala pake ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Prof Godius Kahyarara. Naamini kuwa Rais amejifunza kutoka kwa Prof Muhongo na hivyo kuwaona wasomi wabobezi ni wa msaada mkubwa sana kwake na kwa maendeleo ya nchi

Hongera sana Rais Magufuli. Najua watu watakuchukia sana ila usikate tamaa. Nchi itasonga mbele kama hutasikia sauti za wapiga zumari.
Hii CV balaa muhaya akiamua kusoma huwa anasema mpaka mwisho wa elimu huyu amefika mwisho wa elimu hana cha kuongeza
 
Hao ndiyo watu tunaotaka kuongoza Taasisi zetu, msimu wa vilaza umekwisha, watu wa critical thinking na siyo watu wa kukariri vifungu vya sheria (Respect kwa wabobezi wa Sheria!) na vishahada vya kuunga unga akina Lisu, Zito &Co. hata walisomea wapi hakuna anayefahamu!
Mkuu Lissu na zitto walishawahi kweli kuongoza taasisi za serikali hapa nchini?. Mbona unalaumu wasiohusika kabisa, hoja yako inakosa mashiko badala yake chuki yako dhidi ya uliowataja ndiyo inaonekana wazi. Kama hujui Lissu na Zitto wamesoma wapi uliza tu uambiwe. Mwisho wa siku hakuna MTU amewahi kuongoza taasisi za umma siyo msomi. Chenge siyo msomi? Issue siyo CV issue ni uzalendo na siasa kuingilia kazi.
 
Nchi lazima isonge mbele
Mkuu CV tu haisogezi nchi mbele, hebu fanya utafiti kwanza. Hebu tuambie ni graduate yupi aliingiza nchi kwenye mikataba za hovyo hapa nchini, ni mhitimu yupi wa secondary au primary alifanya hayo? Jibu ni kwamba ni wasomi wabobezi kabisa akina Endru Chenge. Sasa ili kuthibitsha CV tu siyo issue hebu tushushie hapa Cv ya Mkuu Chenge tuione hapa. Bila uzalendo na siasa safi hakuna kitu hata uwe na CV kama ya Newton.
 
View attachment 354048 View attachment 354050 View attachment 354051 View attachment 354052 View attachment 354053
Wadau, amani iwe kwenu. Kama kuna jambo zuri ambalo Rais Magufuli analifanya basi ni kuheshimu taaluma katika kila eneo. Sehemu ambazo zinahitaji wasomi wa taaluma fulani anamuweka mtu sahihi kutokana na sifa na uzoefu alionao mtu huyo.

Miongoni mwa watu ambao kwa hakika Rais Magufuli amewaweka katika mahala pake ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Prof Godius Kahyarara. Naamini kuwa Rais amejifunza kutoka kwa Prof Muhongo na hivyo kuwaona wasomi wabobezi ni wa msaada mkubwa sana kwake na kwa maendeleo ya nchi

Hongera sana Rais Magufuli. Najua watu watakuchukia sana ila usikate tamaa. Nchi itasonga mbele kama hutasikia sauti za wapiga zumari.
cv nzuri lakini je ana deliver?
 
Hao ndiyo watu tunaotaka kuongoza Taasisi zetu, msimu wa vilaza umekwisha, watu wa critical thinking na siyo watu wa kukariri vifungu vya sheria (Respect kwa wabobezi wa Sheria!) na vishahada vya kuunga unga akina Lisu, Zito &Co. hata walisomea wapi hakuna anayefahamu!

ELIMU na DHAMIRA ni VITU VIWILI TOFAUTI, Mh Chenge na Elimu yake na ujuzi wa Sheria amewasaidia nini wa Tanzania? ameitumia kujinufaisha, aheri mpumbavu mwenye dhamira na uadilifu kuliko Elimu na roho mbaya!
 
hayo ni mavyeti, ila utendaji unaweza ukawa wa hovyo sana. Athibitishe kwa matendo.

Ule mleta uzi unaonekana wewe ni mtu wa karibu sana sana na huyu Mjurugenzi.
 
Hii tabia ya kusifia CV huwa anayo Le Mutuz kwa sababu huwa ana vyeti feki aliviiba huko Marekani akadhani CV bongo huwa inasaidia sana lakini kabakia na CV zake na sasa kageuka kuwa mpambe wa Devis Mosha baada Wazee wa CCM kumwona mzigo.
Maisha ya Le Mutuz hata kuku hawezi kuyatamani! kila siku ni kuishi nyuma ya migongo ya watu tu!
Sijui hata kama ana familia au anaweza kulea familia kama wanaume wengine.
 
Hao ndiyo watu tunaotaka kuongoza Taasisi zetu, msimu wa vilaza umekwisha, watu wa critical thinking na siyo watu wa kukariri vifungu vya sheria (Respect kwa wabobezi wa Sheria!) na vishahada vya kuunga unga akina Lisu, Zito &Co. hata walisomea wapi hakuna anayefahamu!
Kwa ukweli sijaona positive effects za hawa PhDs wa bongo, huwa najiuliza ni mabingwa wa kukariri vitabu na kupata A darasani? Mbona wazungu, wahindi na wachina wanatuacha kwa teknologia. Maana nasikia hata Bilgate hakuwa na PhD kwa wakati ule ila alileta positive effect kwa elimu yake ndogo. Au PhD nyingi ni za kina doc. Shika.
 
huyo nani kakuambia kasoma kweli? Wangapi wasomi CCM na ndiyo Mafisadi? Akina Chenge, Mwakyembe na mabehewa, Tibaijuka akina werema na wenzao wana cv lakini ni wezi, Huyo anaweza akawa kasoma kijanja janja ile style ya kuiba mitihani na kununua majawabu na kukariri kisha wanajifunza Kingereza kwa bidii ili kuficha udhaifu wao.
Sasa nimekuelewa kwenye kipengele cha kukariri na kuiba mitihani.
 
Hao ndiyo watu tunaotaka kuongoza Taasisi zetu, msimu wa vilaza umekwisha, watu wa critical thinking na siyo watu wa kukariri vifungu vya sheria (Respect kwa wabobezi wa Sheria!) na vishahada vya kuunga unga akina Lisu, Zito &Co. hata walisomea wapi hakuna anayefahamu!
Wewe mbona hujitokezi hadharani ukasaidia nchi, tungependa kupata uhudumu wako
 
Lizabon umekwama, kazi yako kulete CV za wateule wa kiongozi wa Malaika. Mbona yule msukuma anaekaimu nafasi ya ukurugenzi NHC hujatuletea? Alishindwa kuindesha Ilala tu, leo aendeshe nchi. Muambieni ukabila utamkwamisha muda sio mrefu.
 
Sasa amuache atumie huo uzoefu na CV yake kuliboresha shirika siyo awe kama kiinimacho maamuzi yote yanatoka ikulu
 
Hao ndiyo watu tunaotaka kuongoza Taasisi zetu, msimu wa vilaza umekwisha, watu wa critical thinking na siyo watu wa kukariri vifungu vya sheria (Respect kwa wabobezi wa Sheria!) na vishahada vya kuunga unga akina Lisu, Zito &Co. hata walisomea wapi hakuna anayefahamu!

Wewe zombi kweli! Zitto na Lisu hawana elimu ya kuunga unga kama wewe. Tatizo lako inaweza kuwa mahaba ya siasa. Zitto ana Shahada ya kwanza ua Economics ya UDSM na Masters in Business Laws ya Ujerumani. Lisu na yeye pia ni Graduate wa UDSM. Zitto na Lisu siyo vilaza kama wewe.
 
Back
Top Bottom