Cute cuter cutest

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
kwanza natanguliza radhi zangu za dhati kwakua nimekua nikiwatania wengi sana humu jamvini bila kujali umri mana avatar zaficha mengi......ila nimeona leo nifunguke kua am more than serious kwa huyu binti CUTE ingawa anajua kua namtania ila sitanii ktk hili napenda afahamu ivo kua niko level nyingine kabisa juu yake...... CUTEnapenda nawe siku moja u feel the same way i feel about you babe.....

nawatakia eid njema ndugu zangu waislamu wote bila kukusahau CUTE
eid-mubarak-greetings1.jpg
 
Last edited by a moderator:

View attachment 62410

ufungue moyo bila kuona mbele ya macho yako hope atasikia ombi lako aliko Mungu ampe nguvu
 
Last edited by a moderator:
oooooh noooo..... Mwali take heart......itabidi uache uaminifu wako wa kuwa na mmoja......nini sasa hii......
 
Last edited by a moderator:
Ngoja na mimi niziangalie hizi avatar kwa makini ili niing'ang'anie moja hapa!.
 
Cute upokee moyo wa mshkaji, kama huna nafasi uweke hata kwenye unyayo wako tu.
 
Labda niinogeshee tu heading ya mleta mada kwa kuongezea
CUTE
CUTER
CUTEST ---->add
CUTELY
CUTENESS
ni katika kukuboreshea tu mtakatifu SI .
 
oooooh noooo..... Mwali take heart......itabidi uache uaminifu wako wa kuwa na mmoja......nini sasa hii......
Ah, mi ilikua ni utani tu, tena Uncle wangu Kaizer hakupokea mahari
Ila naona haya ya CUTE yamekaa serious zaidi, maybe even nje ya JF
Nawatakia kila la kheri. In the mean time mi naendela zangu ku-enjoy
I'm back from leave. Wapi Ambitious anipe funguo za nyumba yetu?
 
Usijali Mwali bado utaikuta palepale tunapowekaga.Hopefully umeniletea zawadi safari hii.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom