julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 2,648
- 3,468
Wewe kadada uliyekwa na Redgold Tomato ku introduce products yao ya peanut butter hapo Mliman kwenye mlango wa kuingia Shoppers Supermarket sijui niseme umechoka au ndio poor customer care with low skills in promotion.
Mteja kaja umeweka tumikate twa kuonja na maelekezo na kikawaida mtu akifika kwenye kimeza chako umachangamka unamwelezea nini kipya kwenye products yenu tofauti na zingine. Badala yake mteja akifika unaona kama kaenda kula tu vile vya kuonja so mtu anafika husemi una promote nini.
Nimefika leo dada katoa tu macho hasemi, hatoi intro, hatoi chochote,namwambia wee!! Nipe tumikate em nionje, nini kipya tofaut yeye kanuna akijua natala tu kutula bure,kwan maboss wao waliawaaambia je si wawape customer ndio venye ajue kitu kina ladha gani!! the same nimeona hili tatizo hata wale wa sabun za unga wanavaaga kama watoto wa shule. Yaani wao wamekaa tu kama zombi.
Na mind set yao ni kuwa ukifika pale unakula vile vidude wanavokupa uonje na hununui wala nini, lakini maboss zao wana akili, sio lazim mteja ukimuonjesha anunue hapo hapo, hapana, ila ataondoka akijua kumbe kitu fulani kina ladha hii anaweka akilini. Redgold Peanut butter promoter wenu Mlimani kafeli, naona tule tumikate badae anatula twote!