Elections 2010 CUF yatangaza Wanaume wa Vita - INATISHA

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Dar es Salaam,

Hussein Siyovelwa (Ilala); Kimangale Mussa (Segerea); Heko Pori (Ukonga); Shaban Mapeyo (Kawe); Shabaan Nassor (Kinondoni) na Mustafa Mungwe (Kigamboni).

Tanga

Mussa Mbarouk (Tanga Mjini); Remmy Shundi (Handeni); Bakar Mbega (Mkinga); Abubakar Bakari (Muheza); Gogola Gogola (Mlalo); Fabi Sozi (Bumbuli); Abassy Mkankamghanga (Lushoto), Jumaa Magogo (Korogwe Mjini); Mohamed Asiu (Korogwe Vijijini) na Omar Masomaso (Pangani).

Kilimanjaro

Awadh Mwarabu (Same Magharibi).

Mtwara

Hassan Abdallah (Mtwara Mjini); Katani Katani (Tandahimba); Clara Mwatuka (Masasi); Mtikita Mtikita (Lulindi); Hakika Maarifa (Newala) na Chikamba Wanainuka (Mtwara Vijijini).
Lindi ni Salum Barwany (Lindi Mjini); Ayubu Nassor (Mchinga), Khalfan Mandanje (Mtama); Madaraka Beyi (Liwale), Nanjase Nanjase (Nachingwea), Abubakary Kondo (Ruangwa), Seleman Bungara (Kilwa Kusini) na Said Manoro (Kilwa Kaskazini).

Tabora

Edward Zombwe (Urambo Mashariki), Kirungi Kirungi (Urambo Magharibi), Hassan Mwigwayasila (Igalula), David Kassoga (Tabora Kaskazini), Kidumla Kidumla (Bukene), Dominic Kizwalo (Nzega) na Abdallah Katala (Sikonge).

Kagera

Christina Kasimbazi (Bukoba Vijijini), Nicolaus Batalingaya (Karagwe), Twaha Taslima (Bukoba Vijijini), Hamida Issa (Biharamulo Magharibi), David Tibanywana (Chato) na Yahya Ndyema (Nkenge).
Arusha ni Ghariby Baalawy (Arusha Mjini), John Pallangyo (Arumeru Mashariki), Adella Kileo (Arumeru Magharibi) na Navaya Ndaskoi (Monduli).
Mara ni Mustafa Wandwi (Musoma Mjini), Vedastus Msita (Mwibara) na Wilegi Songambele (Bunda).
Pwani ni Jafar Ndende (Mkuranga), Seif Porwe (Kibiti), Ali Kihambwe (Rufiji), Wahabi Twalut (Mafia), Adui Kondo (Kisarawe), Zahoro Vuai (Bagamoyo) na Miraj Mtibwiliko (Chalinze).

Shinyanga ni Mwalimu Mbukuzi (Shinyanga Mjini), Khanipha Ruhinda (Maswa Mashariki), Seif Baya (Maswa Magharibi), Jackson Deodatus (Bukombe), Shashu Lugeye (Solwa), Sauda Kasiga (Msalala), Hamisi Makapa (Kahama), Creoface Magere (Mbogwe) na James Matinde (Kisesa).
Kigoma ni Fatma Kinguti (Kigoma Mjini), Salum Kajanja (Buyungu), Athumani Hamisi (Muhambwe), Rashid Kaduguda (Kasulu Magharibi) na Ibrahim Magara (Buhigwe).

Mbeya ni Ezekia Mtafya (Ileje), Asukile Kabango (Mbozi Magharibi), Nkuyuntila Siwale (Mbozi Mashariki), Yusuf Said (Kyela) na Shaweji Salinyambo (Mbarali).

Iringa ni Mussa Fufumbe (Isimani), Godfrey Hongele (Njombe Kaskazini), Stanley Fwila (Njombe Kusini) na Jacob Mhanga (Njombe Magharibi).
Manyara ni Rashid Mgaya (Babati Mjini), Juma Nyeresa (Kiteto) na Eliseus Amedeus (Mbulu).
Ruvuma ni Mazee Mazee (Tunduru Kaskazini), Mohammed Mambo(Tunduru Kusini) na Hassan Mtwangambati (Namtumbo).
Morogoro ni Willy Dikundile (Kilosa Kati), Abeid Mlapakolo (Morogoro Mjini) na Blandina Mwasabwite (Morogoro Kusini Mashariki).
Mwanza ni Komanya Athanas (Buchosa), Mbaraka Chiru (Sengerema), Peter Malebo (Geita), Oscar Ndalahwa (Busanda), Andrea Mkanga (Nyang’hwale), Abdallah Mtina (Misungwi), Omar Mbalamwezi (Nyamagana), Mtebe Msita (Ukerewe), Ligawa Ndalahwa (Kwimba) na Julius Samamba (Sumve).

Katavi ni Aram Ndimubenya (Mpanda Mjini), Athumani Kababende (Mpanda Vijijini) na Abbas Ally (Katavi).

Singida ni Rashid Mindicar (Singida Mjini), Sizimwe Kanyota (Singida Kaskazini) na Dalfina Patric (Singida Magharibi).

Dodoma ni Ngomoka Joseph (Mtera), Ngomoka William (Chilonwa), Yahya Deni (Kondoa Kaskazini), Hassan Missanya (Kondoa Kusini).
Tabora ni Kapasha Kapasha (Tabora Mjini).
 
""CUF yatangaza Wanaume wa Vita - INATISHA!"""

Mbona naona hata majina ya kike?? au hayo majina wanageuka kuwa mabwabwa?
au wana sera ya mfumo DUME??
 
Malaria Sugu umeona hawa CUF walivyojaza Wakatoliki? Duh wamewazidi hata CHADEMA

Hussein Siyovelwa (Ilala); Kimangale Mussa (Segerea); Heko Pori (Ukonga); Shaban Mapeyo (Kawe); Shabaan Nassor (Kinondoni) na Mustafa Mungwe (Kigamboni).

Tanga

Mussa Mbarouk (Tanga Mjini); Remmy Shundi (Handeni); Bakar Mbega (Mkinga); Abubakar Bakari (Muheza); Gogola Gogola (Mlalo); Fabi Sozi (Bumbuli); Abassy Mkankamghanga (Lushoto), Jumaa Magogo (Korogwe Mjini); Mohamed Asiu (Korogwe Vijijini) na Omar Masomaso (Pangani).

Kilimanjaro

Awadh Mwarabu (Same Magharibi).

Mtwara

Hassan Abdallah (Mtwara Mjini); Katani Katani (Tandahimba); Clara Mwatuka (Masasi); Mtikita Mtikita (Lulindi); Hakika Maarifa (Newala) na Chikamba Wanainuka (Mtwara Vijijini).
Lindi ni Salum Barwany (Lindi Mjini); Ayubu Nassor (Mchinga), Khalfan Mandanje (Mtama); Madaraka Beyi (Liwale), Nanjase Nanjase (Nachingwea), Abubakary Kondo (Ruangwa), Seleman Bungara (Kilwa Kusini) na Said Manoro (Kilwa Kaskazini).

Chama cha Kilokole hiki....utadhani wako kanisani?
 
CHAMA Cha Wananchi (CUF), kimetangaza majina ya wagombea ubunge na uwakilishi kwenye uchaguzi mkuu ujao, huku aliyekuwa Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Daruso), Julius Mtatiro akiteuliwa kuwania Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, aliwambia waandishi wa habari Dar es Salaam jana kwamba baadhi ya majimbo ya Tanzania Bara na Zanzibar, mchakato wa kupata wagombea ubunge na uwakilishi unaendelea
 
Mtatiro angetafutiwa jimbo jingine kama kawe au ukonga-segerea kwa makongoro siyo Ubungo. sidhani kama mtatiro ana ubavu wa kuwashawishi wakazi wa Ubungo wamchague yeye badala ya Mnyika. Mnyika amekaa kwenye vichwa vya wana Ubungo kwa upande wa upinzani kama kiu kinavyopenda maji.
Mtatiro hana Ubavu kwa Mnyika. Kwa jimbo la Ubungo - CUF is wasting its time, energy and resources.
 
Naona mmenywea ,sasa ngojeni kampeni lazima mtaingia mitini, yaani mmeona majina tu mmeanza mchecheto ! Huyo ameomba hakupangiwa kwa maana hiyo hapo amepima na anapaweza. sasa huyo mtu wenu wa kuja ,kazi kwake.
 
Chama cha Kilokole hiki....utadhani wako kanisani?

Tabora

Edward Zombwe (Urambo Mashariki), Kirungi Kirungi (Urambo Magharibi), Hassan Mwigwayasila (Igalula), David Kassoga (Tabora Kaskazini), Kidumla Kidumla (Bukene), Dominic Kizwalo (Nzega) na Abdallah Katala (Sikonge).

Kagera

Christina Kasimbazi (Bukoba Vijijini), Nicolaus Batalingaya (Karagwe), Twaha Taslima (Bukoba Vijijini), Hamida Issa (Biharamulo Magharibi), David Tibanywana (Chato) na Yahya Ndyema (Nkenge).

Arusha ni Ghariby Baalawy (Arusha Mjini), John Pallangyo (Arumeru Mashariki), Adella Kileo (Arumeru Magharibi) na Navaya Ndaskoi (Monduli).

Mara ni Mustafa Wandwi (Musoma Mjini), Vedastus Msita (Mwibara) na Wilegi
Mwanza ni Komanya Athanas (Buchosa), Mbaraka Chiru (Sengerema), Peter Malebo (Geita), Oscar Ndalahwa (Busanda), Andrea Mkanga (Nyang'hwale), Abdallah Mtina (Misungwi), Omar Mbalamwezi (Nyamagana), Mtebe Msita (Ukerewe), Ligawa Ndalahwa (Kwimba) na Julius Samamba (Sumve).

Katavi ni Aram Ndimubenya (Mpanda Mjini), Athumani Kababende (Mpanda Vijijini) na Abbas Ally (Katavi).

Singida ni Rashid Mindicar (Singida Mjini), Sizimwe Kanyota (Singida Kaskazini) na Dalfina Patric (Singida Magharibi).

Dodoma ni Ngomoka Joseph (Mtera), Ngomoka William (Chilonwa), Yahya Deni (Kondoa Kaskazini), Hassan Missanya (Kondoa Kusini).
Tabora ni Kapasha Kapasha (Tabora Mjini).

KWELI NIMEONA!
 
CHAMA Cha Wananchi (CUF), kimetangaza majina ya wagombea ubunge na uwakilishi kwenye uchaguzi mkuu ujao, huku aliyekuwa Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Daruso), Julius Mtatiro akiteuliwa kuwania Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, aliwambia waandishi wa habari Dar es Salaam jana kwamba baadhi ya majimbo ya Tanzania Bara na Zanzibar, mchakato wa kupata wagombea ubunge na uwakilishi unaendelea

Hivi Mtatiro Ndio anawadanganya alikuwa Rais wa Daruso au DARUSO ipi hiyo ambayo Mtatiro alikuwa Rais wake
 
Yaani Pamoja na Proffesor wao Wameingizwa Kingi na Mtatiro

ETI ALIYEKUWA RAIS WA DARUSO LOL
 
Back
Top Bottom