Sakaratul-mauti,
Ni hali ya ukingoni anayokuwanayo mwanaadam wakati akikata roho. Kwamba anakuwa yu ama mfu au hai (katikati), hali hii hudhihirika kwani mtu akatapo roho 'hutapatapa'.
Ukiimanisha hali hiyo na CUF, ni minajili na tafsiri hizo hapo juu. Sakaratul maut, ni neno la kiarabu na linafahamika sana na waislam. Mtu awapo katika hali hiyo (ktk uislam), basi husomewa surat-Yaasin yote tena kwa ukamilifu.