CUF wasingedhibitiwa na IGP Mahita wangekuja kuwa kama Hamas!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,023
Ikumbukwe wakati wa Utawala wa hayati Ben Mkapa ndio yalikamatwa makontena Yenye majambia huko bandarini yakihusishwa na chama cha Siasa cha CUF ambacho Wafuasi wake waliojitenga ndio hawa ACT wazalendo Zanzibar

Tumshukuru Mungu wa mbinguni kwa ushupavu wa IGP Mahita kwa kweli aliona mbali

Sabato Njema 😀
 
Cuf walikua na nguvu sana tatizo wao wakajikita kidini zaidi hapo ndo uwezekano wa kuchukua Dola ukawa haupo
 
Ikumbukwe wakati wa Utawala wa hayati Ben Mkapa ndio yalikamatwa makontena Yenye majambia huko bandarini yakihusishwa na chama cha Siasa cha CUF ambacho Wafuasi wake waliojitenga ndio hawa ACT wazalendo Zanzibar

Tumshukuru Mungu wa mbinguni kwa ushupavu wa IGP Mahita kwa kweli aliona mbali

Sabato Njema 😀
Mkuu
Naona leo umechefukwa haswaa....

Tulia na wajukuu home😄
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom